TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,290
- 6,726
Ukihitaji salamu subiri kwanza nizeeke,sasa hivi utaula wa chuya!
Nawaza sana endapo Mungu akinipa Umri mkubwa wa Kuishi,sijui uzee wangu utakuwa wa namna gani!😩
Je, nitadharaulika kama baadhi ya wazee leo wanavyodhaurika?
Je, nitakosa thamani kama wazee wengine wanavyokosa thamani miongoni mwa watu!
Je, nitatembelea makalio kwa kujikongoja kama wafanyavyo baadhi ya wazee?
Je, Sura yangu itakuwa na muonekano mbaya kama wazee wengine?😩
Je, sitaweza kuendesha gari kama niwezavyo hivi sasa?
Je, pisi kali zote zitakuwa zinaniona mimi takataka "Ushazeeka babu rudi kwa bibi"😩
Je, nitaandamwa na magonjwa ya uzeeni?
Je, Ngozi ya mwili wangu itakosa Nuru?
Je, Nitakuwa natukanwa na Wajukuu wangu?
Je, nitaendelea kusikiliza Nyimbo za kina Diamond na Harmonize au nitakuwa nasikiliza kina Sikinde na Msondo?
Je, nitaendelea kuvaa nguo na mitindo ya kisasa au nitarudi kuvaa mabwanga ili kujipatia heshima kwa jamii?😩
Je, nitaendelea kuwachapa mademu wazuri au ndiyo sitoweza kusimamisha tena ?😩
Yaani nawaza namna nitakavyokuwa naitwa na majirani "Wewe mzee TUKANA UONE habari za hapo kwako"
Yaani eti nikifungua kiduka kwangu utakuwa unasikia jirani anamtuma mwanaye "Wewe Amina nenda hapo kwa Mzee TUKANA UONE ukaniletee kiberiti na dawa ya mbu" 😩😩
Eeeh Mungu kabla sijafika huko tafadhali nilaze tu maana sitaki kusubiri kuona navyokuwa mzee mimi ðŸ˜