Nawapongeza wanajeshi wa Tanzania kwa kutokuinajisi sare ya jeshi mitandaoni

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
14,798
43,003
Ni nadra sana kuona mwanajeshi wa Tanzania kapiga picha na kuitupia mtandaoni akiwa na vazi la jeshi . Si kwa maafisa au kwa maaskari.

Hii adabu si kwa JWTZ tu hata polisi, magereza, fire and rescue, uhamiaji na majeshi usu yote.

Jirani zetu Kenya wanajeshi wanachezea comedy sare zao.

Good Tanzania.
 
Back
Top Bottom