Navy Kenzo, Nahreel wanafanya vizuri sana

Of coz hilo nalo neno....Unadhani wanapata airtime wanayostahili?
wanapata airtime yakuzidi sana mkuu, na hyo ni mpka vituo vikubwa kama trace tv, few weeks ago kamatia chini iliingia top ten ya ngoma kali africa kwenye trace tv. ngoma zao zina hit sana.
 
kweli ni underrated.... ila kamatia chini naona ndo ngoma ambayo watu wengi wanayo kwenye simu, inakuwa played sana rredioni na club pia
 
Kweli pah one.. ilikuwa kiboko.. walikuwa wanapiga ung'eng'e wa ukweli kama wale camp mulla wa kenya.. haya makundi mawili yalivuma muda kidogo na kuvunjika
Bora camp mulla walionja mafanikio kwa sana ila pah one daah aisee majanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom