Nauza Zulia Used limetumika mwaka mmoja

Upo Mkoa Gani na Unataka mnunu awe mkoa upi.. Na kwa nini unaliuza wewe ni Ke au Me, Vipi ulishawahi kulifanyia uzinzi ? Watu wasije nunua mikosi bure..
Nipo Dar es Salaam maeneo ya tabata, mimi ni Ke, sijawahi kulifanyia ufiraini wowote
 
Nauza Zulia 80,000. Lina ukubwa wa urefu mita4 na upana mita3 ni Yale mazulia yakupima Maua yake ni draft lina rangi ya kaki, nimelitumia mwaka1 sasa, nimeshindwa kuupload picha mnisamehee
Naomba unitumie picha za zulia WhatsApp 0763772636 am in need plz
 
Back
Top Bottom