Jay_255
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 729
- 1,289
NAUZA MRADI WANGU WA SHAMBA EKA 105 KWA MILIONI 135
Ningependa kuchukua nafasi hii kutangaza kuuza shamba langu lenye ukubwa wa eka 105 lililopo kijiji cha lutukila katika wilaya ya madaba mkoa wa Ruvuma.
Shamba hili lina hati miliki kabisa zenye jina langu na wala si mali ya ukoo au kijiji.
Kutoka barabara ya barabara ya njombe - songea shamba lipo km 1 tu kutoka barabara kuu.
Shamba hili nimelipata kwa kununua eka 50 kwa mara ya kwanza kisha nikanunua eka 25 halafu nikamalizia na eka 30 jumla inakuwa ni eka 105 (zote zipo eneo moja na ninauza lote kwa ujumla) na zote zina hati miliki.
UWEKEZAJI NILIOUFANYA KATIKA MRADI HUU
Tayari kuna ghala lenye kuweza kuhifadhi tani 300 za chakula, kuna nyumba ya wafanyakazi ambayo nimeshaiombea umeme pia katika eka hizo 105 nimepanda mikorosho eka 20 ambayo ina miaka miwili mpaka sasa. Kuna kisima cha maji pia hapo hapo kwenye hilo shamba.
Pia kuna bonde ambalo unaweza kulimia mpunga lenye ukubwa wa eka kama 6 hivi.Kuna miti ya mitiki ukubwa wa eka 5.
Yeyote mwenye nia ya kuwekeza katika mradi wa kilimo shamba hili linamfaaa kabisa
KWANINI NAUZA?
Nimepata shida katika mradi wangu mwingine wa kilimo kwa maana hiyo nahitaji kiasi hiki cha pesa japo ni bei ya kutupa ila itanisaidia kutatua matatizo yangu yaliyopo kwenye mradi huo mwingine.
NB: Shamba hili linatambulika na halmashauri ya wilaya ya madaba kuwa mimi ndio mmiliki na halina migogoro yoyote na wala HALIJAWAHI KUKOPEWA HELA BENKI.
Mtu yoyote anayehitaji kujiridhisha umiliki wa hili shamba anaweza kufika halmashauri ya wilaya ya madaba ambayo shamba lilipo na kuhakikishiwa umiliki wangu.
Kwa maelezo zaidi na kuhitaji msaada wowote wa kuhitaji kufika kuona shamba wasiliana katika namba hii 0782780980