Nauza Mchele mzuri na Maharage kutoka Mbeya kwa bei nafuu

Drew28

New Member
Apr 9, 2025
2
2
Wakuu kwema!
Nina mchele mzuri wa kutosha pamoja na maharage ya njano
Mchele
Jumla 2400 tsh kuazia kilo 100
Rejareja 2700 tsh

Maharage
Jumla 3000tsh kuazia kilo 100
Rejareja ni 3400 tsh
Wenye maduka ya rejareja pia tueasiliane

Location nipo Tabata Majichumvi (kwa mkuwa)
Nakuletea popote ulipo kwa uaminifu mkubwa.
Tuwasiliane kwa namba 0754542324
IMG_6290.jpeg
IMG_6199.jpeg
IMG_6151.jpeg
IMG_6953.jpeg
IMG_7148.jpeg
IMG_7149.jpeg
IMG_7236.jpeg
IMG_7236.jpeg
 
Back
Top Bottom