MaduhuJ

Member
Oct 7, 2024
15
15
Habari, nauza mbao za mti wa Eucalyptus, kwa majina ya kiswahili unajulikana kama Mlingoti, Mkaratusi, Mti Mbao, Mbao nyekundu. Mbao zina ubora, size zimejaa na bei ni rafiki (ya shambani). Mbao hizi ninachana mwenyewe maeneo ya Mgololo, Mufindi (Iringa) na Uchindile, Mlimba (Moro).

SIFA ZA MBAO
  1. Mbao zimekomaa - zinachanwa kwenye shamba lenye miti ya miaka 21.
  2. Size za mbao ni zimejaa vizuri.
  3. Mbao ni nyingi sana.

SIZE ZA MBAO (12 Ft) & BEI (Tsh)
  1. 1x8 - 5,000
  2. 2x6 - 4,000
  3. 2x4 - 3,000
  4. 2x3 - 2,000
  5. 2x2 - 1,000
  6. 1x4 - 1,000
NB: Hizi ni bei za shambani. Mteja itabidi afuate mzigo shambani. Akihitaji kuletewa alipo, tutazungumza kuhusu usafiri. Malipo yatafanyika mzigo unapopakiwa.

Mimi SIO dalali kwahiyo ninahitaji mteja ambaye yupo serious na commited. Kwa mtu mwenye mahitaji makubwa (i.e mradi), tunaweza kuingia mkataba wa kusupply kutokana na mahitaji yake. Pia ninaweza kuchana size mbalimbali kutokana na mahitaji ya mteja.

Mawasiliano yangu ni 0746311251 (ipo WhatsApp pia).


IMG_0288.jpeg
IMG_0290.jpeg
IMG_0291.jpeg
IMG_0293.jpeg
IMG_0292.jpeg
IMG_0294.jpeg
 
Back
Top Bottom