Plot4Sale Nauza kiwanja changu Tsh 1,500,000

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
3,245
7,555
Nauza kiwanja changu niki kizuri kipo Iringa mjini maeneo ya Tagamenda karibu na shule ya secondary Tagamenda

Ni kilomita chache kutoka ipogolo stand

Hatua 28 kwa 20


Bei Tsh 1,500,000
Haipungui

Piga 0759500807

Karibuni



Hichi hapa kwa picha




Huu ndio mtaa kilichopo kiwanja barabara inaingia
 
Ukiwa unataja 28 kwa 20 yaani 28x20 useme ni vipimo vya futi au mita ili watu wapate uhalisia wa ft² au m² yaani ni (28ft x 20ft) au (28m x 20m). hizi ni taarifa muhimu kwa mtu kama mimi.

Mwisho lazima uweke bayana aina ya haki miliki, yaani kiwanja kinamilikiwa kwa hati miliki kama kipo mjini(municipal), kina ofa, kimerasimishwa na serikali na mwisho lazima tujue kama kimepimwa au vipi.......

Kwa upande wangu sinunui kiwanja mjini bila kufuata hizi procedures na nyingine za kuhusisha issue za kimahakama maana matepeli bhna huwa wana zile janja janja anakuonesha yeye mwenyekiti feki wa mtaa na mwenye kulipwa 10% ya serikali.

Pia blah blah feki hati moja mnauziwa watu tofauti.....
 
Hicho kiwanja ni changu nilinunua mwaka 2018

Nilipima hatua za miguu 28 kwa 20

Kiwanja hakina hati tuliandikishiana na mwenyekiti na mashaidi

Hilo eneo hilo lenye makazi ya watu serikali walilirasimisha ndio mana unaona kuna watu wamejenga hapo

Eneo la chini kuna shule na eneo la wazi la serikali


Karibuni bado hakijatoka

Piga simu 0759500807
Whatsapp
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…