Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Nimesoma unauza nyumba ila kwa hizo nyumba na bei tajwa napata shaka kuwa ama umesahau baadhi ya sifuri kwenye hiyo bei au huuzi nyumba ila unauza ramani za nyumba.
Huyu atakuwa anauza ramani/plan za nyumba - nyingi ya nyumba zinazo onyeshwa kwenye picha wala hazipo Tanzania, ni vizuri mtu ukiwa straight forward na kueleza madhumuni ya kweli ya kuleta banfiko lako. Jengo gani linauzwa kwa TSh.9millioni! Au unamaanisha USD.