Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,179
- 6,238
Ndoa hiyo.
Umepigwa chenga ya mwili.Mhh.. mil320 hivi jamani hapo siwezi kupata BMW X5 or X6?
Mkuu mbona una hasira sana hii biashara mzee if you're not interested unakaa pembeni wengine wenye uhitaji waseme naloHii ni kizazi cha kwanza cha ML Kama sijakosea , sasa hivi kuna kizazi cha NNE cha ML ,kwa upuuzi wa Wabongo ngoja atoe bei ndio mtakimbia wenyewe kisa tuu jina Mercedes Benz. Kwa hali hiyo hilo gari Ulaya sidhani kama utalikuta tena Barabarani. ?
Mkuu mbona una hasira sana hii biashara mzee if you're not interested unakaa pembeni wengine wenye uhitaji waseme nalo
Kama hukuuza kipindi kile cha J.K kwa sasa sahau watu wanaukame mpaka mshahara ukitoka mwisho wa mwezi unapigiwa hesabu kwenye daftariNauza Gari aina ya Benz ML 320 colour ya Dark Blue mileage ni 184,345 ipo kwenye condition nzuri inatembea kwa mawasiliano zaidi nicheki PM.
Bei na maongezi ya ziada tuwasiliane chemba.
Bei ni reasonable kabisa.
Asante
Ya mwaka huuMhh.. mil320 hivi jamani hapo siwezi kupata BMW X5 or X6?
ML 320 sio maana ya milioni mia tatu ishirini. Hapo maana yake ni kwamba hilo benzi ni series ya ML 320 ila ukitaka kujua anauzaje ni bei ngapi ndio umtwangie simu , bei ya mauzo hajaweka hadharani .Dah nilisoma haraka hii ML 320..bro si nikahisi millioni 320...hope utapata wateja..