Naupenda sana mtandao wa tigo asikwambie mtu

Hivi TTCL wanaline ambazo unaweza kutumia simu yoyote? Maana najua walikuwa na simu zao maalum za TTCL tu.
Sasahivi unaweza kutumia laini ya ttcl.kwenye handset yoyote, ukipata laini ya chuo ndio utafaidi kwenye upande wa data
 
Tigo haina kasi kubwa siku hizi voda ndio baba lao wacha niingie youtube niangalie goli za Man Utd jana usiku kwa kutumia 3G ya voda.
3g ya voda ni mizinguo kwa baadhi ya sehemu

Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app
 
Sasahivi unaweza kutumia laini ya ttcl.kwenye handset yoyote, ukipata laini ya chuo ndio utafaidi kwenye upande wa data
I can't wait dadek, ngoja nifanye mchakato wa kuingia huko... Najua net itakuwa fasta sana..

Sent from Nokia tochi
 
Back
Top Bottom