Naumia kumuona mtoto wangu

wewe ulijuaje kama huyo mtoto ni wa kwake ilihali huyo mwanamke ana mume wake? je, una uthibsho kuwa yo mto I wakoa si wa mumehuka? aise ili kuleta amani kaa kimya milele, ila muombe Mungu akusamehe na kukufanya usahahu
 
Kwanza, mi nimeokoka, nilikua mtumwa wa dhambi ila nazijutia. Iwapo yeyote atatokea nae kuja kudai mtoto wake katika watoto wangu na akija na vidhibitisho, na mke wangu akakubali, nitamsamehe na mi na mke wangu tutasonga mbele na kuanza maisha mapya katika Kristo.

Hivi hii habari sijaielewa,kwamba mlikuwa tayari kwenye ndoa zenu mkachepuka ndo mimba ikapatikani? au mimba ilipatikana kabla huyo mama hajaolewa? naomba unijibu hapo kwanza samahani lakini.
 
Usinitukane, mwizi akitubu anabaki kuwa mwizi?

Sijakutukana.kwan hata mwz aktubu na kusamehewa lakn s wote watakao mwamn na kovu la kuitwa mwz lazma lmtese.hyo n sawa na kwako pia, mkeo hatakuelewa tena atakuona msalt mkubwa na hatokuamn
 
Sijakutukana.kwan hata mwz aktubu na kusamehewa lakn s wote watakao mwamn na kovu la kuitwa mwz lazma lmtese.hyo n sawa na kwako pia, mkeo hatakuelewa tena atakuona msalt mkubwa na hatokuamn

Mke wangu anajua kila kitu maana nilimweka wazi. Baada ya hapo, alinisamehe.
 
true fununu kuwa jk amemtembelea mtu wake ,zipo...alipofika pia alitaka kwenda kwa mbonde ,washauri wakamuambia kelele zitakua nyingi ...akaamu kuonyesha gesture kuwa ni all weather kwa jana kuhudhuria msiba wa mzee mmoja mfugaji wa kimasai[laibon ] ,ambapo aliwataka waache kuhamahama.
hata hivyo sina uhakika kama hakwenda usiku wa manane kimya kimya...
au pia anaweza kwenda baadaye mambo yakitulia...ila mshkaji lazima atatoka pale wadanganyika watakaposahau,,....na kina mbonde ambao wangeleta mdomo wameshatulizwa.
pia naomba wana board mueendelee kupiga kelele maana uzuri umu ndani watu wanapiga facts kwani jamaa kuona soo kwenda kwa mbonde inatokana na kelele zenu...maana upinzani wilki hii hoja yao ilikua karume,karume ..wakati kuna mambo yanayotuumiza umeme,na haki hii,,kelele hizi anaziona maana huku anapita..for sure.

utakua na nia ya kumvunjia ndoa dada wa watu et??koz ww mkei atakusamehe koz ndvyo tulivyoumbwa wanawake tuna hrm nyng bt uyo mme wa uyo mdada cdhan km ataelewa ht kdg tn atahis ht na wale wengn co wake sasa uone km ni tatizo unataka kuleta km uliamua azaliwe kule bad muache kule kule uyo mtt
Hv ingekua ww mkeo akwambie ao wtt co wako ungejskiaje na sku unamwona baba yao anakuja kuwachukua wkt ww ndo ulikua unalea na kuamin km ni wk??
Uzur umeokoka bas usilopenda kufanyiwa kamwe usimfanyie mwenzio
waswahil usema bustan ya mchicha ht likiota tembele ni la mwenye bustan yk ya mchicha so uyo mtt ni wa uko uko na wako ni kiroho koz ww ndo unajua
FUNGA MDOMO WAKO...
 
Naulokole wako usijitafutie kufupisha maisha yako mapema plz we kausha tu
 
Kuna viapo ambavyo inakupasa unyamaze milele hata nafsi yako husiwe unaiambia siri hiyo. Siku ukisema jambo hilo HAKIKA UTAKUFA.
 
ww mwamba kausha tuu, nadhani uchungu wa kulea unaujua sasa jamaa akijua kuwa mtt sio wake unafikir nini atafanya? hivyo ushar kaakimya na usije kuropokwa ukija subutu kusema itakuwa kiama chako
 
Una uhakika gani kwamba hako kadada ni ka kwako? Si ajabu katika hivyo vidume vyako 3 kamoja si kakwako au vyote kabisa.
 
Duh...apo inabid pia uwaze consequence zake zitakueje?...je mke wako na mume wa huyo dada watalichukuliaje ilo suala
Na kwa namna jamaa anavyompenda mwanae kampa na jina la mama yake mzazi halafu ukapeleke sura lako eti mwanao kisa umeokoka!Atamshinda lutu yeye huyu? kuna uongo Mungu haukuhesabii makosa!potezea maana tamaa zake za kutaka mtoto wa kike zitamponza
 
Cha kukushair, tumia busara, mlisha likoroga( nusu shari) hamkukamatwa, Mumemuomba Mungu msamaha yameisha, kaa kimya, ugua pole mpk upone

Kama unataka kuiona dunia chungu nenda kamfuate huyo mtoto, bora mwenzio kdgo ataeleweka ila ww unaweza pigwa rungu na ndoa zote mbil zkavunjika
 
Cha kukushair, tumia busara, mlisha likoroga( nusu shari) hamkukamatwa, Mumemuomba Mungu msamaha yameisha, kaa kimya, ugua pole mpk upone

Kama unataka kuiona dunia chungu nenda kamfuate huyo mtoto, bora mwenzio kdgo ataeleweka ila ww unaweza pigwa rungu na ndoa zote mbil zkavunjika

Ahaa that is the case
 
Back
Top Bottom