PS4 SLIM BEI YAKE 750K hadi 700K unapata. Hizi ni zie wanaita used from Dubai au UK.Sijakuelewa mkuu wangu
Kuna duka pale Gerezani Kariakoo, linaitwa Duka La Games na warranty anakupa.Da Asante sana Kaka umenipa mwanga na vipi hizo used kwa dar nazipata wapi??
hapo unaua bosi ngoja nikupe no za jamaa wa mwenge ukanunue 0714514352Da Kaka nifanyie 600 Sasa niichukue alafu ebu nitumieni video niicheki
Pamoja sana mkuu.Da mkuu ubarkiwe sana
ingekuwa laki 7 sawa mkuu mcheki huyo jamaa nilie kupa hizo number kwa bajeti yako utapata tu pale mwengeShukrani ila kwanini usiniuzie wewe
Hauzi fake kwanza zote zinazouzwa huku ni zilizotumikaHataniingiza kwenye gunia I mean hataniuzia console fek??