Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,910
Hakuna moto hapo kwa sababu sidhani kama amepanga bila mkewe kufahamu au kumshirikisha. Halafu kama mkewe alishamtembelea basi lazima atakuwa anayafahamu mazingira hayo.
Sasa asubiri kubambikiwa kosa la kutaka kubaka au kubaka.
Mkuu huyu Baba ameitikia Wito wa Vikao vya vya huyo mama zaidi ya Mara Mbili bila kumwambia mke wake huu usumbufu sasa akimshirikisha sasa hivi unajua moto wake?
Hivi unawasikia wanawake au Unawajua?
Hilo ndio kosa la kwanza alilofanya la kiufundi. Na atakiwi kuitikia tena hiyo mialiko.
Wanawake wengine wanakuona boya tu Kama utamwekeze hiyo kitu, atajifikiria kuwa huyu kashindwa kulikabili Kama mwanaume had aje kuniambia mkewe, hawa wanawake hawa kutegemea na nke na nke baaaaJibu ni moja tu jambo km hilo mshirikishr mkeo, kama unaona ni kikwazo kwako kabsaaa ni vyema mshirikishe atakusaidia sn kuepukana na hiyo kero