Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,910
Hakuna moto hapo kwa sababu sidhani kama amepanga bila mkewe kufahamu au kumshirikisha. Halafu kama mkewe alishamtembelea basi lazima atakuwa anayafahamu mazingira hayo.
Sasa asubiri kubambikiwa kosa la kutaka kubaka au kubaka.
Mkuu huyu Baba ameitikia Wito wa Vikao vya vya huyo mama zaidi ya Mara Mbili bila kumwambia mke wake huu usumbufu sasa akimshirikisha sasa hivi unajua moto wake?
Hivi unawasikia wanawake au Unawajua?