Natongozwa na mpangaji mwenzangu

Kuwa makini na ndoa Yako.

Sisi wanaume tulivyo wa ajabu basi utakubali na mwishowe utakula tunda. Kumbuka ya Msando tu
 

Hapo kwenye red: ni nyumbani au chumbani? Nyumbani maanake hamuishi pamoja. Labda kama nyumba imetenganishwa. Story ya kweli hii?

Lakini cha ajabu ameendelea kuwa kero kwangu kila Mara ananitumia SMS, ananipigia ingawa sipokei call zake, sasa sijui nitumie mbinu gani ili huyu Dada aachane na huo mpango wake wa kutaka kuninasa.

Kwa nini hauishi na mkeo? Mwambie mkeo juu ya changamoto hiyo halafu ampe warning. Au Karibisha wadada hata kwa kuwalipa ili aonekane hafai.
 
Reactions: SDG
Jenga Nyumba
 


Mkuu akimwambia tu Mke wake atakuwa amewasha Moto Upya
 
Kwanza nakupongeza kwa msimamo wako kama ni kweli unavyosema.Ushauri wangu mweleze mke wako ishu yote toka mwanzo hadi sasa na umwambie mkeo asimfanye jambo lolote walakumwonyesha dalili yoyote, endapo ataendele kukufatilia na kukupigia simu ili ili uende sehemu alipo mwambie unakuja kisha mwambie mke wako mwende naye hapo alipo,ukifika umuulize alichokuitia ukiwa na mkeo,na hapo ndio itakuwa mwisho wa kukufatilia.
 
Mkuu akimwambia tu Mke wake atakuwa amewasha Moto Upya

Hakuna moto hapo kwa sababu sidhani kama amepanga bila mkewe kufahamu au kumshirikisha. Halafu kama mkewe alishamtembelea basi lazima atakuwa anayafahamu mazingira hayo.

Sasa asubiri kubambikiwa kosa la kutaka kubaka au kubaka.
 

Ebu tuondolee upuuzi wako hapa. Unatudhalilisha sisi wanaume. Ngoja siku moja wanaume wenzako watakapo mkunja huyo unayesema barafu ya moyo wako ndio utagundua kwamba wewe ni kilaza.Wewe unadhani ni sifa kuandika habari ya kijinga kama hii??
 
Nipe namba yake mkuu huyo atakua ana nyege za miaka nafikiri tangu yule bwana yake ampe mimba hajawahi kuingiziwa mashine.
Mwanaume mashineeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…