NATO kupambana na Russia endapo Ukraine itashindwa vita - Austin

So we hujui Kama Warusi na wachina walipigana Tena msitari wa mbele? Tunandugu walikuwa na Warusi marafiki waliopigana nao huko, hujui hata waliozima mapinduzi dhidi ya Nyerere walikuwa Warusi wakitumia surrender bridge. Preferably wakitumia warembo wa kirusi kama trap? Jielimishe zaidi. Nato anapigana na Russia na keshashindwa
Wewe acha kutuletea porojo za uwanja wa fisi, eti China na Urusi walikuwa na Tanzania bega kwa bega vitani dhidi ya Amin. Ndipo ulipozaliwa wakakudanganya hivyo kwenye vijiwe vya kahawa. Bure kabisa.
 
Wanajeshi wangapi wa NATO wamefariki??
Wanajeshi wa NATO wanaotoa mafunzo Ukraine, wanabondwa tu.

Wanajeshi wa NATO wa kujitolea waliopo Ukraine kwenye uwanja wa vita, wanabondwa tu.

Wanajeshi wastaafu wa NATO waliopo Ukraine, wanabondwa tu.

Vifaa Vya kila aina vya kijeshi kutoka NATO, vinapondwa tu.

Mpaka Sasa ubao unasoma: Russia 3: NATO 0
Russia kachukua points 3 Muhimu na magoli matatu 💪💪💪wakati NATO+Ukraine wameambulia patupu mpaka Sasa. 🙅🙅🤦🤦

Una lingine?
 
So we hujui Kama Warusi na wachina walipigana Tena msitari wa mbele? Tunandugu walikuwa na Warusi marafiki waliopigana nao huko, hujui hata waliozima mapinduzi dhidi ya Nyerere walikuwa Warusi wakitumia surrender bridge. Preferably wakitumia warembo wa kirusi kama trap? Jielimishe zaidi. Nato anapigana na Russia na keshashindwa
Rubbish
 
Wanajeshi wa NATO wanaotoa mafunzo Ukraine, wanabondwa tu.

Wanajeshi wa NATO wa kujitolea waliopo Ukraine kwenye uwanja wa vita, wanabondwa tu.

Wanajeshi wastaafu wa NATO waliopo Ukraine, wanabondwa tu.

Vifaa Vya kila aina vya kijeshi kutoka NATO, vinapondwa tu.

Mpaka Sasa ubao unasoma: Russia 3: NATO 0
Russia kachukua points 3 Muhimu na magoli matatu 💪💪💪wakati NATO+Ukraine wameambulia patupu mpaka Sasa. 🙅🙅🤦🤦

Una lingine?
Pro Russia huwa mnafikiria ki-fallacy sana, Basi wape credit Wamarekani kwa kuuendesha uchumi wa Russia kwa sababu walimpa mafunzo gavana wa benki kuu ya Russia Elvira Nabiullina kupitia Yale,
Wape Wamarekani credit kwa Russia kupata teknolojia za silaha za nuclear kupitia George Koval.
 
Conspirancies
 
Kama Russia walipewa technologies za silaha, na Elimu ile imewasaidia kuimalika maradufu basi Russia apewe maua yake Kwa kutumia vizuri alichopewa.

Mpaka sasa Ukraine kapewa mabilioni ya pesa, silaha za kila technology kutoka nchi 30 (akiwemo aliyempa Russia tech ya silaha). Vyote hivyo havijafua dafu mbele ya jeshi la mtu mmoja (Putin).

Kwa nini Marekani asimpe Ukraine latest tech ya kuweza kumuangamiza kabisa adui Russia?
Russia alipewa tech enzi hizo za Soviet union, kama lengo ni kuionyesha Russia si lolote mbele ya vita, wanashindwaje kumpa technology ya silaha za nuclear Kwa Sasa Ukraine? (Japokuwa nuclear zipo Ukraine).

Kama huwezi huwezi, unaweza kusaidiwa na bado ukatoka bila Bila. Mwingine akisaidiwa kidogo tu anakuja na maajabu makubwa zaidi ya kile alichosaidiwa.

By then, hata Marekani naye amesaidiwa sana kuimarishwa na watu kutoka mataifa ya nje.
 
Usiwe poyoyo, vita sio silaha tu, ndio maana USSR ilipigwa na Chechnya katika First Chechen War, ndio maana Gaddafi aliweza kung'olewa na migambo tu pamoja na kuwa na shehena za mabilioni za silaha za Kirusi.
Kama silaha sio muhimu mbona Zere kila siku anshinda anaomba omba hizo silaha?
Ya kwamba Gadafi alitolewa na wana mgambo, hivi ww jamaa kichwa chako kiko sawa kweli?

Kiufupi nchi za Magharibi kwa sasa hakuna chochote wanacho weza kumtisha Urusi iwe kijeshi au kiuchumi.

Angalau kipindi cha nyuma Urusi alikuwaga anazihofia kwa sababu ya kuhofia uchumi wake lakini tangu mzozo huu huanze umewaacha uchi na Urusi imesha gundua kuwa kumbe ina uwezo wa kuendesha uchumi wake bila kutegemea nchi za Magharibi.
 
Usiwe poyoyo, vita sio silaha tu, ndio maana USSR ilipigwa na Chechnya katika First Chechen War, ndio maana Gaddafi aliweza kung'olewa na migambo tu pamoja na kuwa na shehena za mabilioni za silaha za Kirusi.
Kichwa chako kipi Empty. Eti Gadafi along'olewa na Migambo. Kwani ukiwa mkweli kuna tatiz gani?
 
Tulipotumia silaha za Kirusi kupigana na Iddi Amin haimaanishi USSR ndio ilipigana na Iddi Amini.
Sisi tulikuwa hatupewi bali tulikuwa tuna nunua silaha , tofautisha kati ya kununua na kupewa.
Leo hii ww ukienda dukani ukanunua mchele ukapeleka kuwapikia watoto wako utaheshabika unalisha familia yako, lakini huo huo mchele ukipewa bure una hesabika kuwa unatunziwa familia.
 
Kumbe Ukraine hawatalipia hizo silaha kama Pro-putin wengi ambavyo wamekuwa wakisema/kudanganya?!
Kumbe hiyo misaada ni mzigo na hasara tupu kwa Marekani!
 
Huyo jamaa inaelekea ugonjwa umeathiri Hadi ubongo wake.
Hanataka asife peke yake Bali afe watu wengi.
Safari hii hakuna wapiganaji wa kiafrika watachukuliwa kwenda kupigana kwa niaba yao, sanasana nchi za kiafrika zijiandae kwa kuzalisha chakula cha kutosha na kuhakikisha rasilimali watu za ulaya zinatumika vema.
 
Back
Top Bottom