NATO kupambana na Russia endapo Ukraine itashindwa vita - Austin

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
14,424
17,432
Mkuu wa Pentagon Lloyd Austin anaamini kwamba ikiwa Ukraine itapoteza vita kamili na Urusi, nchi hiyo ya pili italazimika kupigana na Muungano mzima wa Atlantiki ya Kaskazini maarufu kama (NATO).

Taarifa ya Austin katika kikao cha Kamati ya Huduma za Silaha ya Bunge la Marekani, kama ilivyoripotiwa na European Pravda.

Ingawa kesi hiyo ililenga zaidi kuhusu kulazwa hospitalini kwa Lloyd Austin mwanzoni mwa mwaka, ambapo hakuijulisha White House au Congress mapema, wabunge pia waliuliza maswali kadhaa juu ya kiasi gani cha msaada wa kijeshi wa Marekani Ukraine ilikuwa inahitaji.

 
Putin akisikia habari kama hizi defence mechanism yake ni kufanya drill yanamna yakutumia drill za silaha za nuke maana anajua vilivyo bila mikwala hiyo hatoboi
Kwani we hujui kama putin anapigana na NATO nzima au unajitoa ufahamu,, hiyo mikwala ampige nani wakati marekani na mashost zake ndio kutwa kwenye media kutia mikwala wakati mwamba anazidi kuimega Ukraine
 
Watatumia silaha zipi maana silaha zao walizo kuwa wanatamba nazo na kuzipaka kila aina ya ubora zimeshindwa kuonesha maajabu kwenye uwanja wa vita huko Ukraine?
Usiwe poyoyo, vita sio silaha tu, ndio maana USSR ilipigwa na Chechnya katika First Chechen War, ndio maana Gaddafi aliweza kung'olewa na migambo tu pamoja na kuwa na shehena za mabilioni za silaha za Kirusi.
 
Tulipotumia silaha za Kirusi kupigana na Iddi Amin haimaanishi USSR ndio ilipigana na Iddi Amini.
So we hujui Kama Warusi na wachina walipigana Tena msitari wa mbele? Tunandugu walikuwa na Warusi marafiki waliopigana nao huko, hujui hata waliozima mapinduzi dhidi ya Nyerere walikuwa Warusi wakitumia surrender bridge. Preferably wakitumia warembo wa kirusi kama trap? Jielimishe zaidi. Nato anapigana na Russia na keshashindwa
 
Usiwe poyoyo, vita sio silaha tu, ndio maana USSR ilipigwa na Chechnya katika First Chechen War, ndio maana Gaddafi aliweza kung'olewa na migambo tu pamoja na kuwa na shehena za mabilioni za silaha za Kirusi.
Gaddafi aling'olewa na migambo!?..uko shallow Sana,ndege za ufaransa na uingereza zilikua zikifanya nini kule!?..meli Vita za marekani!?.. Gaddafi alipigawa na NATO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…