Natengeneza mfumo wa kukusanya kodi baada ya miaka 10 utakuwa na uwezo wa kukusanya usd billion 700+ kwa kila mwaka wa fedha

De-zerbi

Member
Mar 7, 2024
82
103
Kama kisemacho kichwa cha habari kwa sahivi natengeneza mfumo wa kodi ambao ukiwa adopted baada ya miaka 10 utakua na uwezo wa kukusanya usd billion 700+.

Nikimaliza ntawapa mrejesho.
 
Acha kupiga mayowe wacha tuje kuona ulichofanya, umekosea sana kutuambia unachotaka kufanya kabla, nasikitika kusema hutafanya! Pole sana.
 
Back
Top Bottom