Natangaza rasmi kuachana na siasa

Nilikua na rafiki tulikutana naye kwenye hustling, mchaga, na alikua chadema damu. Alikua ni mwenyekiti wa tawi akiwa kwenye hicho cheo alifanya kazi kwa karibu na Boni.

Kwa kuzingatia upepo wa lowasa huyu rafiki yangu alijitoa kwa hali na mali. Biashara ikafa lakini akaamini bright days are near.

Boni akatoboa, halafu akawa hapokei simu za jamaa na akimfuata ofisini anamkataa. Time hiyo Boni ni meya.

Boni ndiye alimfungua macho jamaa kwamba hakuna anayepigania masilahi ya wananchi kila mmoja anapambania tumbo lake
 
Wanaleta hasira zao mitandaoni
Walijiunga kimya kimya,kuondoka wanakuja kututangazia humu 😀
Wala hajaacha, we ngoja Lisu akishinda huo uchaguzi utamuona kutwa kucha humu.

Sasa hivi ana wasiwasi na haelewi nini kitatokea kaanza kujitoa, na kususa kisa eti Mbowe anagombea nafasi ya uwenyekiti taifa chadema.
 
Hii I'd hamtaiona tena natangaza kuachana na siasa maisha yangu yote.

Sina Cha kuongeza ila Mimi ni mmoja wa watu nilio risk maisha yangu na biashara zangu kupigania CHADEMA.

Account yangu ya biashara ilifungwa kipindi cha utawala wa Magufuli sababu ya kukataa ujinga wa utawala wake.

Sitaki kuongea mengi ila niseme tu ukweli Mimi ni Mchaga pure kabisa nimekuwa nikisapoti CHADEMA sio kwa sababu ya Mbowe kuwa mchaga hapana.

Nimekuwa nikisapoti CHADEMA kwa sababu ni chama ambacho angalau niliona kina mwanga wa kuleta mageuzi.

Nimekuwa mwanachama wa CHADEMA toka mwaka 2009 baada ya kumaliza kidato Cha nne nikiwa mdogo kabisa niseme tu damu yangu ilikuwa CHADEMA kabisa pure maana sijawai kuwa CCM.

Nilianza kuwa na mashaka mwaka 2015 baada ya Mbowe kumpokea Lowassa kwenye chama lakini nikasema bado siwezi kuasi chama.

Kwa alichokifanya Mbowe kututukana wanachama kwamba hatuna mchango wowote ndiye mwenye chama na anaweza kufanya anachotaka nimejiridhisha bila mashaka Mbowe ni Tapeli, Mwizi, Muongo, Mfanyakazi wa CCM , kibraka wa Samia na Fisadi Kama mafisadi mengi yaliyo CCM .

Nang'atuka CHADEMA sitoshiriki aina yeyote ya siasa wala kutumia hata mia yangu kwenye chama na vyama mfu vya upinzani inatosha.

Siwezi kufanya siasa za unafiki siwezi kuwa mnafiki nitarudi kwenye siasa siku Tundu Lissu akianzisha chama kipya na ndani yake kusiwemo wafanyakazi wa CCM na majambazi wa siasa za Tanzania .

Poleni kwa ndugu zangu mliopata misukosuko wakati nasumbuliwa na utawala wa CCM

Poleni marafiki zangu ambao mlipata shida nilipokuwa napata misukosuko ya kisiasa.

Poleni Sana ndugu wa watu wote waliopotea mpaka leo hawajapatika.

Poleni Sana wote waliofariki Kama Chacha Wangwe, Kibao, Mawazo, Akwilina, Zoka, Mwangosi na wengine ambao sijawataja!!..

Poleni poleni Sana watu wote niliowatukana kwa sababu ya ya chama natubu naomba mnisamehe maisha yaendelee!!.

Nipo Moshi Mlliopo Moshi Karibuni tule nyama na bia.
Kila la heri huko. Wacha sie wenye roho ngumu tuendelee na maisha ya Siasa huku tukichukua tahadhari.
 
Ondoka tu, kwanza CHADEMA uliikuta ukapipenda mwenyewe. Hakuna hasara
 
Lipumba aliandika~ga na barua wakati ule, alipomaliza kula hela za wale jamaa akarudi kwenye chama. Wilbroad akatangaza kustaafu siasa....vina muda basi! kiko wapi ? Leo hii amejaa tele kwenye majukwaa ya siasa.

Siasa ni uongo. Ukilazimisha kuwa ukweli utaishia kuumia. Siasa ni UCHAFU, ukiingia kwenye siasa lazima uchafuke kwa namna yyt. Siasa ni propaganda. Siasa ni uuaji, ufisadi, ubadhirifu, utapeli, uvivu, uchochezi, ulafi, ujambazi, utekaji, uadui na mengine mengi.

Lakini siasa ni ajira. Hii ya kusimama majukwaani kuhadaa watu kwamba unaomba wakuchague ili ukawatetee ni utapeli tu kama ilivyo kwa utapeli mwingine. Ndio sababu mwanasiasa analipwa mshahara na marupurupu kedekede.

Wanasiasa wote ni walewale hakuna mwenye afadhali kwasababu ya nature ya siasa ilivyo. Huwezi kuwa mkweli ukadumu kwenye siasa katu asilani abadani haitokaa itokee.

If you can't fight them join them
Umeandika vizuri sana, anyedhani mwanasiasa(has wa afrika) yupo kwa ajili yake anaidanganya na amekosa akili
 
Umeandika vizuri sana, anyedhani mwanasiasa(has wa afrika) yupo kwa ajili yake anaidanganya na amekosa akili
Tatizo letu tunaamini yale tunayoambiwa badala ya sisi wenyewe kutumia vizuri ubongo wetu katika kufikiri na kutatua changamoto zetu za maisha.

Wapo baadhi ya watu wanaamini mwanasiasa anaweza kuwaboreshea maisha yao 😆😆😆😆 wanasahau kwamba siasa ni ajira na ndio maana wanasiasa wanalipwa.

Binafsi huwa nafurahi namna wanavyokosoana bungeni na kwenye majukwaa ambayo kimsingi naichukulia kama comedy fulani.
 
Mungu anamuona Mboe na anawatumikia kwa hila.
Si sad.
Mungu atawalipa kwa kushezea Shere watanzania kwa jambo ambalo linaeuhusiwa Kikatiba kumbe huku wako na agenda zao za Siri kuhujumu na kupumbaza wananchi.
Mungu atazidi kuwaumbua na kuwashushia heshima.
 
Back
Top Bottom