Natamani kuifanya familia yangu kuwa kama ya Bakhresa na ya akina Mo Dewji, nipeni muongozo

Mimi mtoto kurithi mali zangu is not automatic, lazima aonyeshe uwezo (prove) wa kumiliki , kuheshimu na kuendeleza, kama mjinga chapombe full madawa atapata pesa ya kula tuu na matibabu, hizo zitaenda kwa wenye shida na mahitaji hata kama sio blood yangu
Familia za wenzetu zimepiga hatua kwa kurithishana biashara na asset vizazi na vizazi
 
Familia za wenzetu zimepiga hatua kwa kurithishana biashara na asset vizazi na vizazi
Kitu usichoelewa hao wanaoachiwa lazima wa prove uwezo wao, hard work etc kuna zaidi ya bloodline na tumeona rafiki au binamu anaachiwa mtoto wa kuzaliwa anaachwa, usicheze na watu waliopata mali kwa jasho lao
 
Sasa mfano mimi wakati mzee anafariki nilikuwa na 4yrs old nitaproove vipi, vipaji vingine vinachelewa kuzaliwa japo mimi sio kipaji
 
Back
Top Bottom