Nataka niweke biashara tatu kwenye duka moja la Electronics? Naombeni ushauri!

aBuwash

JF-Expert Member
Dec 26, 2023
260
490
Habar wanajf naimani mko powa
Sana
Leo nataka tujadili kuhusuu hii idea siyo ngeni maana maduka kazaa nishawah ona so ntaka mnishauriii kidogo..

Nataka kufungua duka la vifaa vifaa vya electronics.
Lakini ndanii nataka nichanganye niwekeee vifaaa vya simu.
Pia niwekee vifaa vya umeme vile common bulb, wire,nk
Na pia niweke subufa, tv, pasii, fenii
Katika duka moja

Ila ni mgenii katika hii industry so mwenye uzoefu anipe ujuzii kidg sehem ya kuchukua mzgo,
Location ambayo inabidii nizingatie wakat wa kutafuta frem,
Pia hata mtajii na kiasii gani nikianza nacho naweza fanya vizurii, pia mnishaurii changamoto za hii biashara,
Na vingine vingi amabvyo wenda sijaandika ila mnaexperience navyo
Nitashkuru sana tambueni mtu anaefanikiwa ni yule mweny kusaidia wengine kwaiyo tusaidiane mambo yaweze kwenda wakuu

Nawasirisha
 
Fanya hivyo mkuu weka Hadi washing machine Tena electronics kam tv, sabufa chukulia pemba bei rahisi sana kule natumaini utapiga ela sana
 
Habar wanajf naimani mko powa
Sana
Leo nataka tujadili kuhusuu hii idea siyo ngeni maana maduka kazaa nishawah ona so ntaka mnishauriii kidogo..

Nataka kufungua duka la vifaa vifaa vya electronics.
Lakini ndanii nataka nichanganye niwekeee vifaaa vya simu.
Pia niwekee vifaa vya umeme vile common bulb, wire,nk
Na pia niweke subufa, tv, pasii, fenii
Katika duka moja

Ila ni mgenii katika hii industry so mwenye uzoefu anipe ujuzii kidg sehem ya kuchukua mzgo,
Location ambayo inabidii nizingatie wakat wa kutafuta frem,
Pia hata mtajii na kiasii gani nikianza nacho naweza fanya vizurii, pia mnishaurii changamoto za hii biashara,
Na vingine vingi amabvyo wenda sijaandika ila mnaexperience navyo
Nitashkuru sana tambueni mtu anaefanikiwa ni yule mweny kusaidia wengine kwaiyo tusaidiane mambo yaweze kwenda wakuu

Nawasirisha
Jf wazoefu wa hii biashara inaonekana hamna kabisa maana hata thread nyingine nilizoangalia zinazofanana na hii wachangiajii hamna kabisa
 
Vifaa vya simu unatakiwa uwe na mtaji wa kutosha pia unatakiwa uwe na mafundi wengi kwenye eneo husika kwakifupi vifaa vya simu vinahitaji utafiti wa kutosha kuna mambi mengi, nakuelekeza kama fundi simu usinishangae najua vitu vingi software and hardware, karibu
Nashukur sana kwa mchango wako kak
 
Uzi wako haujakamilika ili mtu aweze kukupa ushauri vizuri,
1.uko wapi
2.eneo la frem unayotaka kufungulia hii biashara likoje(mjini/kijijini/wilayani)
3.umezungumzia biashara tatu hapo tofauti...je zina muingiliano???
5.umeamua kuifanya biashara kwa ukubwa gani namaanisha wewe ni wholesaler au retailer???
6.mtaji uliojipanga nao ni upi??
Wengi wanakimbia kujibu mada kama hizi sababu hamuweki wazi baadhi ya info mpk uulizwe wakati wewe ndomwenye shida
 
Vifaa vya simu unatakiwa uwe na mtaji wa kutosha pia unatakiwa uwe na mafundi wengi kwenye eneo husika kwakifupi vifaa vya simu vinahitaji utafiti wa kutosha kuna mambi mengi, nakuelekeza kama fundi simu usinishangae najua vitu vingi software and hardware, karibu
Vifaa vya simu spea au vitu kama chaja, eafoni, memory card. Mana akisema auze mashine kama spea hizi atachakaa. Mana hizo zina wenyewe na primarily wateja ni hao mafundi
 
Uzi wako haujakamilika ili mtu aweze kukupa ushauri vizuri,
1.uko wapi
2.eneo la frem unayotaka kufungulia hii biashara likoje(mjini/kijijini/wilayani)
3.umezungumzia biashara tatu hapo tofauti...je zina muingiliano???
5.umeamua kuifanya biashara kwa ukubwa gani namaanisha wewe ni wholesaler au retailer???
6.mtaji uliojipanga nao ni upi??
Wengi wanakimbia kujibu mada kama hizi sababu hamuweki wazi baadhi ya info mpk uulizwe wakati wewe ndomwenye shida
Pia hakuna mrejesho kwa ushauri uliotolewa muuliza swali anakaa kimya
 
Kwa sasa niko dar
Biashara nataka kufungua buguruni
Nauza rejareja kama jumla labda mtaji ukikua mbele huko
Nimejipanga kuanza na 8M kwanza kusikilizia biahsra inakwendaje
Muingiliano cjakuelewa ila mimi nataka zote niziweke kweny duka moja nitaenga tu huko sim huko umeme na vifaa vya majumbani nazani tumeelewan hapo kk
 
Pia hakuna mrejesho kwa ushauri uliotolewa muuliza swali anakaa kimya
Nilikuwa offline ila najibu yote
Spare za simu ni biashara nzuri inahitaji mtaji mkubwa simu zinamatoleo mengi unaweza jikuta unavitu vingi ambavyo baadae vinakuwa ni uchafu (simu zinakuwa zimepitwa na wakati)
Sorry nimekosea naongelea earphones charge battery na vingine sio display na vifaa kama ulivoelewa
 
Back
Top Bottom