Mke Bwaxx wazeiyaa
(nilivosema wazeiyaa nikakumbuka zile mixtape za Virus za mzee sugu wakat anawaponda Mawingu FM RADIO ya wafu)
Anyway, hao walikua wadhamini wa habar za mchezo ( Simaanishi Sports HQ ya 93.7 FM kwa Maulid Kitenge)
Sasa ni hivi mazee....
Main topic ni kuwa
NATAKA NIWE MAARUFU HUMU JF.
Niwe famous kama kina
Faizafoxy
Mshana JR (mzee wa story za uongo)
The Boss
Nyani Ngabu
Heaven sent
Mwajuma mchawi
Mzizi mkavu (mzee wa nguvu za kiume, kila uzi wa PE na nyeto humkosi, cjui jamaa ana PHD ya haya mambo)
Tuendelee....
Myname is myname..
Na yule mdada kweny avatar yake kuna mdada kachuchumaa kavaa kichupi halaf kashika bunduki..
Na wengne wengi..
Sasa jamani nitumie njia gani??
Maana mwanzo nilisema nitumie njia ya MATUSI...
Yaan kila mara na post threads za MATUSI tuu...
Nafungua kila uzi then na comment MATUSI tuu bila kujali topic Husika..
Tatizo nikawa napigwa BAN..
Nishaurini jaman Namie nataka watu wawe WANANI TAJA TAJA HUMU..
CJAWAHI KUONA mtu kanitaja humu..
Ushaur tafadhal....
Ninadhani hamjamuelewa mtoa mada, yeye anataka awe maarufu hapa JF.
heheh unajitafutia ban wwOlewa na Moderator
Kitu cha Shinyanga hicho! hah hah ile thread ilinichekesha sanaHahahhaah umenichekesha sana wewe,fanya hivi kua kama mimi tu utaongelewa sana utatajwa sana ,utajadiliwa sanaa
Kitu cha Shinyanga hicho! hah hah ile thread ilinichekesha sana
Na amesema mwanzo alitumia mbinu ya kutukana watu na kuwajibu hovyo hata kama kulikua hakuna umuhimu wa kutukana!!Ninadhani hamjamuelewa mtoa mada, yeye anataka awe maarufu hapa JF.
Ameshapata umaarufu aliokuwa anautafuta.Na amesema mwanzo alitumia mbinu ya kutukana watu na kuwajibu hovyo hata kama kulikua hakuna umuhimu wa kutukana!!
Ila naona hata hii thread yake ametukana watu bila sababu ya msingi na bila shaka kisha kula Ban.
HAMNA FAIDA YEYOTE HAPA TUNABURUDIKA TU MAMANini faida ya umaarufu wa Jf?