Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,103
- Thread starter
-
- #21
asante kwa kunitia moyoFanya upesi maana ya kesho hatuyajui. Nenda kanisa lililo karibu nawe, usichague kwa Sasa maadamu anahubiriwa Kristo.
Anatupenda upeo hivyo atakupokea (Yohana 13:1).
Nenda ukamkiri upate kuokoka (warumi 10:9).
Hongera
asantehongera sana nenda kanisa ambalo lipo karb nawe mungu akutie nguvu usimame usionje zambi tena n amani y krsto iwe juu yk be blesed
Mkuu vip wewe ushamkiri KRISTO?Tafuta kabisa lililo karibu nawe!
Evidence plz?Ishi maisha yako na watu vizuri tu,tatizo lako ni pychological zaidi kulio spiritual, kama una marafiki wa karibu unaoweza kuwaamini, ongea nao kuhusu matatizo yako na ushauri, makanisa haya yana take advantage ya watu wenye matatizo kama wewe kwa ajili manufaa yao ya kifedha
Evidence ya nini? kama unahitaji evidence ya kuwa kuna wachungaji wanatumia matatizo ya waumini wao kama mtaji, basi hujui kinachoendelea kwenye huu ulimwenguEvidence plz?
Cha msingi asimame katika neno jenga Tania ya kusoma bible kuna nguvu sana katika kusoma neno na Maombi pia.
Daaah mathematician leo umeniangusha hata kuthibitisha unachokiamini unashindwa.Evidence ya nini? kama unahitaji evidence ya kuwa kuna wachungaji wanatumia matatizo ya waumini wao kama mtaji, basi hujui kinachoendelea kwenye huu ulimwengu
You mean kanisa right?Tafuta kabisa lililo karibu nawe!
You mean kanisa right?
Naona umeamua kuwa mjumbe wa ibilisi kumpotosha mwenzio! Kuna makanisa mengi sana yana mtumikia Mungu. Marafiki hawawezi kuwa na msaada muache aokoke wewe endelea kuzinzika tu.Ishi maisha yako na watu vizuri tu,tatizo lako ni pychological zaidi kulio spiritual, kama una marafiki wa karibu unaoweza kuwaamini, ongea nao kuhusu matatizo yako na ushauri, makanisa haya yana take advantage ya watu wenye matatizo kama wewe kwa ajili manufaa yao ya kifedha
Thank you..Naam!