Nataka niokoke wapendwa

Fanya upesi maana ya kesho hatuyajui. Nenda kanisa lililo karibu nawe, usichague kwa Sasa maadamu anahubiriwa Kristo.

Anatupenda upeo hivyo atakupokea (Yohana 13:1).

Nenda ukamkiri upate kuokoka (warumi 10:9).

Hongera
asante kwa kunitia moyo
 
Tayari umeokoka mkuu maana nia umeonyesha,sasa kawekewe mikono na mchungaji uanze maisha ya ndani ya Yesu.Mambo yote ni ubatili tu hapa chini ya jua
 
Kukosa furaha kunategemea tafsiri yako juu ya maisha. Kama unaona furaha yako itapatikana ukiwa umeokoka basi nenda uokoke ili upate furaha.
 
Unataka kuokoka kwa sababu ya mambo yako hayaendi sawa au unaokoka kwa kuwa umeitwa ukamtumikie bwana Fanya maamzi sahihi mungu hujibu kwa wakati anao ona unafaa wewe kupata sasa kama umefuta kuokoka ili upate kitu Fulani basi pole
 
Ishi maisha yako na watu vizuri tu,tatizo lako ni pychological zaidi kulio spiritual, kama una marafiki wa karibu unaoweza kuwaamini, ongea nao kuhusu matatizo yako na ushauri, makanisa haya yana take advantage ya watu wenye matatizo kama wewe kwa ajili manufaa yao ya kifedha
Evidence plz?

Cha msingi asimame katika neno jenga Tania ya kusoma bible kuna nguvu sana katika kusoma neno na Maombi pia.
 
Ila wazo lako zuri cha msingi ujue tunaokoka ili tukaurithi ufalme Wa Mungu tutakapoitwa.

Tukifa dhambini hata tukipigiwa Maombi na kufanyiwa Sara za wafu ni kazi bure muda Wa kufanya uamuzi ni sasa ukiwa hai ukishakufa ni hukumu.
 
Evidence plz?

Cha msingi asimame katika neno jenga Tania ya kusoma bible kuna nguvu sana katika kusoma neno na Maombi pia.
Evidence ya nini? kama unahitaji evidence ya kuwa kuna wachungaji wanatumia matatizo ya waumini wao kama mtaji, basi hujui kinachoendelea kwenye huu ulimwengu
 
Usimtafute mtumishi fulani kama unataka kuokoka. Mchungaji yeyote katika kanisa la watu waliookoka lililo karibu na wewe atakusaidia. Mungu anakupenda sana ndio maana amekupa hilo wazo la kutaka kuokoka. Yesu alisema kwenye Mt 11:28-30 'njooni kwangu ninyi nyote mnaosumbuka na kuelemewa na mizigo nami nitawapumzisha.....(Mt 11:28). Lakini usidhani ukiokoka ndipo hutasumbuliwa, la hasha, matatizo yatakupata kama yanavowapata wengine. Lakini kama umeokoka Yesu ambaye ni njia na kweli na uzima atakupa njia ya kumbana na matatizo yako na kweli (ambayo iko ndani ya neno lake ambalo ni biblia) na atakurudishia uzima kwenye jambo lolote zuri ambalo Mungu alikupa lakini shetani akaliharibu.
Lakini hakikisha kila silu unasoma biblia. Kabla ya kusoma umwombe Yesu akuonyeshe utasoma wapi na baada ya kusoma akufafanulie maana ya hayo uliyosoma.
 
Evidence ya nini? kama unahitaji evidence ya kuwa kuna wachungaji wanatumia matatizo ya waumini wao kama mtaji, basi hujui kinachoendelea kwenye huu ulimwengu
Daaah mathematician leo umeniangusha hata kuthibitisha unachokiamini unashindwa.
 
uko vema kabisa tafuta kanisa la kiroho ukajiunge nao kwa hii safari ya kwenda mbinguni .
 
Vipi ukipata mawasiliano ya Gwajima na Lusekelo hawawezi kukuongoza ukakata shauri?
 
Ishi maisha yako na watu vizuri tu,tatizo lako ni pychological zaidi kulio spiritual, kama una marafiki wa karibu unaoweza kuwaamini, ongea nao kuhusu matatizo yako na ushauri, makanisa haya yana take advantage ya watu wenye matatizo kama wewe kwa ajili manufaa yao ya kifedha
Naona umeamua kuwa mjumbe wa ibilisi kumpotosha mwenzio! Kuna makanisa mengi sana yana mtumikia Mungu. Marafiki hawawezi kuwa na msaada muache aokoke wewe endelea kuzinzika tu.
 
Back
Top Bottom