Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 5,195
- 8,960
Yeye angesema anaishi na mwanamke bana! Mke/mume hutambuliki kwa wazazi???Ni mke wako alafu kwao hutambuliki? Inakuwaje? Huyo ni mke au hawala?
Yeye angesema anaishi na mwanamke bana! Mke/mume hutambuliki kwa wazazi???Ni mke wako alafu kwao hutambuliki? Inakuwaje? Huyo ni mke au hawala?
Mwingine anawaza after all those drama na pengine kadanganya kwao mambo safi vile humjui wakati huo hajui itafikia point uhitaji mjuane basi anakaa kila akiwaza aibu inajaa adi kwene unyayo wa mguuni unafikiri atapata ujasili wa kukupeleka???? (Ila kwa wapumbavu wachache)Unaficha nn kwa mmeo
Nambie rafiki upooMiaka miwili umeshindwa kufanya upelelezi wa kupajua kwao?
Ana kitu huyo sio bureUmeoa mke wa mtu na yawezekana anao watoto huko kijijini kwao au alifukuzwa kutokana na mambo ambayo hayaendani na jamii. Hivi hufikirii kesho? Akifa ghafla utampeleka wapi? Au ni jini?
Wengine wapumbavu huwa wanaficha awataki real life ya kwao ijulikane maana unakuta anafake sana maisha mjini hahaha unafika kwao ata choo akuna wanakata gogo machakani
Hiyo iliwai kutokea kwene familia yetu Dada mmoja aliishi na kaka yetu adi wakazaa mtoto saivi ana miaka 5, yule alikuwa hataki waende kwao wafuate utaratibu waoane adi leo haeleweki huwa anataka nini
Wanaume niwaelewa ntapotezea uongo wote maisha yaendeMwingine anawaza after all those drama na pengine kadanganya kwao mambo safi vile humjui wakati huo hajui itafikia point uhitaji mjuane basi anakaa kila akiwaza aibu inajaa adi kwene unyayo wa mguuni unafikiri atapata ujasili wa kukupeleka???? (Ila kwa wapumbavu wachache)
Nipo @ukhuty, I hope you are going great.Nambie rafiki upoo
HahahaaaaKwao ni baharini tafuta kbs oxygen ya kupigia mbizi.