Nataka kuukana uraia wa Tanzania kuchukua wa Norway, ni madhara yapi ntayapata?

Usiukane Kwa maana ya haya haya yatapita Tz itaendelea kuwepo zama uja zama upita,labda kama kuna manufaa zaidi Kwa kupata uraia wa nchi husika sawa,ili mbeleni Uko tukipata uraia wa nchi Mbili inakuwa sio tatizo kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukane tu na haijalishi kwani utabaki na Gamba lako la kibantu na ukija bongo bado utalitumia kwenye mishemishe na hakuna atakayejua kuwa wewe siyo mtanzania labda ujitangaze,suala la kuwa mtanzania huwezi kuwa na dual citizenship lipo tu in theories. cha muhimu avoid siasa maji taka the kwani ndiyo issue za urai zinapoanziaga.
 
Hakika
 
Wala sikushangai....Mara nyingi sana hata mimi nimewaza kuhama hii nchi ...na upuuzi wake wote., Jiridhishe tu kuwa Hapo Norway utakua na maisha mazuri tu....then go ahead.., uje huku kusalimia tu ndugu.....sio hata tourist....Maana hata hao watalii wanapewa figisu na kodi za ajabu ajabuuuuu...
nchi ina shida kibao...umaskini ulokithiri..,ila wanatoa pesa kubwaa..kurudia chaguzi za majimbo..., kununua viongozi wa upinzani etc.., nkt.

"shithole countries...." D.Trump
 
Usiukane Kwa maana ya haya haya yatapita Tz itaendelea kuwepo zama uja zama upita,labda kama kuna manufaa zaidi Kwa kupata uraia wa nchi husika sawa,ili mbeleni Uko tukipata uraia wa nchi Mbili inakuwa sio tatizo kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno ya wanassiasa haya ya kujaza watu ujinga. Kwani Norway haitaendelea kuwepo?
 
Hapo ataangalia factor kibao kama kutaka kuendelezea kipaji au taaluma yako nje ni kuzuri zaidi maana utapata kadri utumikavo ni bidii yako tu.Mimi umri umeenda nisingeacha nafasi hio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hali ilivyo, we ukane tu wa tz. Norway nadhani km si nchi ya kwanza basi ni ya pili kwa kiwa na raia wenye furaha duniani. Wakati Tz ni nchi ya tatu kutoka mwisho!!!!!
 
Ukane tu na haijalishi kwani utabaki na Gamba lako la kibantu na ukija bongo bado utalitumia kwenye mishemishe na hakuna atakayejua kuwa wewe siyo mtanzania labda ujitangaze,suala la kuwa mtanzania huwezi kuwa na dual citizenship lipo tu in theories. cha muhimu avoid siasa maji taka the kwani ndiyo issue za urai zinapoanziaga.
Kuna system zinasoma itajulikana maana hata Uko nje utaondoka Na passport ya nchi ipi maana ukitumia ya Tz watataka kujua unaishije nchini mwao Kwa status ipi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu japo viongozi wana haribu kabsa ladha ya nchi yetu lakini trust me Tanzania ni nchi nzuri sana achilia hawa wanaotupaka umaskin daily. So nakushauri usiukane uraia mbaba.chuma huko njoo uwekeze huku tuwaachie urithi future generation

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndiyo Unajua maisha yako kwa undani. Hili sio suala la kukurupuka.

-Haujaacha kitu Tanzania..ardhi, nyumba,mke, n.k

-Unafanya kazi gani huko? Je ina security kuanzia kukusomeshea watoto hadi uzeeni..itakutunza? na kukamilisha malengo yako!hapa kuna watu huutafuta uraia unakuta mtu kaupata akiwa 50.

Hapa unakuwa hauna maana kiuchumi hukujipanga, kazi ya maana hauna na uzee ndiyo huo.

Kikubwa angalia future ya maisha yako. Je, Ukiwa mtanzania maisha yako yatakuaje na ukiwa raia wa Norway maisha yako yatakuaje.

BTW, mbona mapema mzee baba ndiyo umedondosha mguu tu jana...hata Oslo yenyewe hujaijua vizuri.
 
Back
Top Bottom