Wakuchakachua
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 346
- 9
naona unaonyesha matumizi tuuuuuu kada mimi naomba MAPATO KAKA kwa mwezi incoming yako ni kiasi gani je una miradi gani hapa mjini yani (Show rooom ngapi za kwako na any yard labda)kwa ujumla wewe kama wewe unasimamaje ki TRA zaidi,
Upande wamuonekano wako we niachie hata uweje mi nitakukubali tuuuu:smile-big:
Upande wamuonekano wako we niachie hata uweje mi nitakukubali tuuuu:smile-big: