Nataka kununua google pixel 3 xl au 3 a

Niko mbioni kuchua moja kati ya hizView attachment 2084751
betterphonestz-20220117-0001.jpg
 
Pia kama budget inaruhusu pixel 5A inakaa na chaji kupita maelezo (5a na sio 5) ni kati ya simu zinazokaa na chaji zaidi duniani.


Also consider oneplus pia ni alternative nzuri tu za Google pixel.
hyo 5a ni bei gani?
 
Pia kama budget inaruhusu pixel 5A inakaa na chaji kupita maelezo (5a na sio 5) ni kati ya simu zinazokaa na chaji zaidi duniani.


Also consider oneplus pia ni alternative nzuri tu za Google pixel.
Chief vipi kuhusu ukaaji wa chaji kwa pixel 5? unaweza ku recommend mtu aichukue kwa bajeti ya 650k?
 
Nataka google pixel 3 xL au 3 a nimeona bei zake ni around 350K je ukiachana na camera hizi simu zinakaaje na chaji na je spars zake nirahisi kupatikana

nahitaji detail kuhusu hizi simu google pixel 3 a na 3 Xl je zinaitofauti wowote

@mondayishard
zipo tunazo
pixel 3a 👉350k
pixel 3xl(64gb) 👉450k
pixel 3xl (128gb) 👉480k
zinakaa na chaj hususani sana 3a xl 👉 400k.. hii ndo inakaa sana na chaji kwenye 3 series. pia spare zake tunazo zote. ukinunua simu kwetu unapata free protector na free cover.
more information 0763854612 watsup no
 
pixel 3 series zote zinajitahid kukaa na chaji ila pixel 2 ndo walifel. pixel 3a xl ndo inaongoza kwa kukaa na chaji.
zote tunazo dukani
pixel 3 👉 350,000
pixel 3a 👉 350,000
pixel 3xl (64gb) 👉 450,000
pixel 3xl (128gb) 👉 480,000
pixel 3a xl 👉 400,000
0763854611 watsup no,/text/call


Nataka kununua pia ila laini 1 na betri nackia halitunzi chaji enewei ukipata detail nitag
 
pixel 3 series zote zinajitahid kukaa na chaji ila pixel 2 ndo walifel. pixel 3a xl ndo inaongoza kwa kukaa na chaji.
zote tunazo dukani
pixel 3 350,000
pixel 3a 350,000
pixel 3xl (64gb) 450,000
pixel 3xl (128gb) 480,000
pixel 3a xl 400,000
0763854611 watsup no,/text/call
Bado pixel inanitatiza sana kuna mjadala uliibuka uko telegram kwamba Pxl tunazioverrate sana kwenye camera.....kati ya Pixel 5 na iphone Xs max....x max ilionekana ni bora zaidi kwenye picha kulko pixel 5,4 na 3 sasa nikuulize ni kweli tunazioverrate??
 
Back
Top Bottom