Zinazohivi pafyumu zina eksipaya deti?
Feeling or secreatHabari zenu wana JF,
Naomba ushauri wenu nataka kununua body spray ya kiume lakini sijui ipi ni nzuri nataka body spray isiyo na harufu kali na inayokaa muda mrefu angalau masaa 7 na kuendelea. Kama waifahamu body spray yoyote yenye sifa hizo na inauzwa bei kuanzia 5000 hadi 10000 naomba nitajie.
Asanteni
CobraHabari zenu wana JF,

Secret naikubali sanaFeeling or secreat
Fighting temptation spray