Natafuta wazalishaji wa chupa hizi za plastik,Anayejua naomba connection

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
1,369
2,077
Habari wakuu.
Natafuta chupa za plastik hizi za kijani kubwa na ndogo,naomba maelekezo ya kiwanda maana nahitaji kwa wingi na biashara endelevu.

Piga 0713 039 875






WhatsApp Image 2024-11-30 at 22.32.08.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom