lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 12,574
- 26,201
Watu wengi sana wameibiwa kwa njia hiyo ya nauli nangoja mtu alie hapa!!utaliwa mkuu hela ya usafiri,
nashindwa kuelewa hivi hapa bongo hakuna agency wanaotambulika kisheria kwakazi hizi?