Natafuta vijana wa kufyatua matofali

Kulipwa 5000 Kwa siku ?asubuhi chai shilingi 2500,mchana chakula elfutatu ,jioni nauli 2000 jumla inakuwa jumla 7500 Tena hapo unajibana.kwa ajira ya namna hiyo ni kuundeleza umasikini kizazi na kizazi
Maskini hatunywi chai braza naona wewe hujapita huko ndio maana unaongea nadharia
 
That's too much bro, mtu akila tangu asbh mpaka jion anabaki na nn hapo? jamn hebu tuwe na utu na hawa vijana wetu. Kama unaweza wape offer ya chakula au walipe per unit, Kila tofali moja mpe mtu mia ili watu wajipimie kazi..natanguliza shukrani.
Unachukulia serious threads za huyu kijana mtaka attention, hamna muajiri hapo ndgu yangu.
Si ajabu yeye ndio anatamani apate hiyo kazi ya kufyatua tofali
 
Kama kichwa Cha habari kinavyosema hapo juu natafuta vijana watatu nitaowaajiri waje wafyatue matofali malipo ni 5000 Kwa siku kula juu Yao Kwa waliotayari waje pm mda huu Kwa mnaohitaji nimeamua kutoa ajira Kwa vijana wenzangu Ili tuweze kusonga mbele
Ndugu naomba namba yako ya simu...mimi natumia kitochi siwez ku pm. Naomba hiyo kazi aisee hata kesho naanza.
 
Mimi pesa ninazo Nina mashine za kufyatulisha matofali dar sehemu 7 na ajiri masikini kama wewe




Kwamba wewe ni Tajiri na Unakesha unabeti?

Kijana Tafuta Hela acha Ukanjanja utatunukiwa HOGO LA JANG'OMBE

Screenshot_20240802-144922.jpg
 
Kwamba wewe ni Tajiri na Unakesha unabeti?

Kijana Tafuta Hela acha Ukanjanja utatunukiwa HOGO LA JANG'OMBE
Tafuta hela hiyo ni moja ya uwekezaji wangu tajiri lazima awe na sehemu nyingi za kuingiza kipato sio wewe unakuja na vistori vyako vya uongo hapa jamii forum
 
Back
Top Bottom