Natafuta vijana wa IT

Nakumbuka kuna jamaa aliwahi kuweka uzi, unao husu namna ama jinsi ya kumnasa member wa jf kwa kutumia mbinu za namna hii
 
Habari wana JF,

Teknolojia imekuwa nguzo kubwa ya mafanikio katika karne kwani watu wengi duniani imewapa utajiri mkubwa ndani ya muda mfupi.

Lengo la kuandika uzi huu ni kutafuta vijana wenzangu wana IT na hata wasio wana IT lakini wenye nia kubwa ya kijiajili katika sekta hii muhimu ikiwa sasa au baadae.

Miongoni mwa mambo ya kufanya ni kutengeneza Ecommerce, mtandao wa kijamii, Online payment system na mambo mengine tutakayoyajadili.

Mashariti ya kujiunga na hiki kikundi lazima uwe chini ya miaka 26
Uwe unapenda kutoa huduma ili upate pesa siyo pesa kwanza huduma baadae uwe mtu usiye na msamiati wa kushindwa kwenye maisha yako.

Napatikana Whatsapp namba 0753366253

Ahsante.
hawa ni matapeli kuna dogo kama huyu ananyea debe kakusanya vijana kajifanya anawaandalia mazingira ya projects kumbe anakusanya ids zao kufill quota ya kuchukua mkopo ukizingatia madogo wenyewe bado wajinga wanapapara ya kuanza maisha watusue kumbe wanaingizwa chaka.
 
Bado mtoto wewe na mawazo yako ya kitotototo,bila shaka ndo umemaliza chuo hivi karibuni
Haya Endelea ukikua utaacha
 
Back
Top Bottom