Natafuta soko la korosho zilizobanguliwa

aBuwash

JF-Expert Member
Dec 26, 2023
260
491
Hey wana jf
Natafuta soko la korosho zilizobanguliwa
Kama unajua sehem yeyote
Noamba ushare hapo chini ili tuwez kusaidiana
 
Attachments

  • images (4).jpeg
    images (4).jpeg
    38.1 KB · Views: 3
Tangazo lako halijashiba umeandika kama unafukuzwa na simba.!

Unatafuta wanunuzi.?? Ww uko wapi ??? Namba za simu zipo wapi.??? Au unataka kila mdau akufuate pm
???
 
Tangazo lako halijashiba umeandika kama unafukuzwa na simba.!

Unatafuta wanunuzi.?? Ww uko wapi ??? Namba za simu zipo wapi.??? Au unataka kila mdau akufuate pm
???
Ushauri mzuri na aseme ziko wapi anazo kiasi gani ili mteja ajue
 
1: fanya packaging peleka mini supermarket and market kubwa,peleka madukani hutakosa hela.
2:kuna wahindi wananunua hizi nakupeleka Asia nenda magodown ya vyakula utapata,hata kwa Mo anafanya hii biashara.
3: Sambaza mwenyewe,kaanga ingia barabarani ili upate hela ya mtaji kikubwa usiuze bei ya juu kulingana na waliopo masokoni hutauza kwakua hawakujui.
4: tafuta mawakala wa vyakula wapo kibao kila mkoa watakusaidia ilahawa wanaongoza kwakulangua utapigwa bei za ajabu mpk ulie
 
Tangazo lako halijashiba umeandika kama unafukuzwa na simba.!

Unatafuta wanunuzi.?? Ww uko wapi ??? Namba za simu zipo wapi.??? Au unataka kila mdau akufuate pm
???
Kwa sasa nipo dar ila mzgo upo mtwara namba za simu 0789306258
 
Back
Top Bottom