Natafuta simu samsung s5, Budget ni tsh laki 2

Bado naendelea kusubiri miaka 800 ijayo unionyeshe hiyo risiti ya samsung s5 ya 200k, mwana..
 
mkuu bado nasubiri, imepita dakika 30

Bado naendelea kusubiri miaka 800 ijayo unionyeshe hiyo risiti ya samsung s5 ya 200k, mwana..
Duh..
20170326_155338.jpg

1a1af7965ae1c70f725d996d1e48cb20.jpg
Mmekubali sasa..?
 
Bado naendelea kusubiri miaka 800 ijayo unionyeshe hiyo risiti ya samsung s5 ya 200k, mwana..
Baba mi sio mwenzio, hapa Duniani kuna watu wa aina mbili, endelea kusubiri miaka mia 800 mi nakomaa kesho nitapata sisubiri miaka 800.
 
uwezekano wa kupata upo kwa 230 mpk 250k, kupata inayokaa na charge n km zari, maansa s5 nying zinazngua sana sana betri na kioo
 
Samsung za Mwanza zinatoka kampuni tofauti na hizi za Dar?
Ok.. tufanye umeshinda, na siku nyingine ukitaka s5 nenda tena Mwanza...wala usisumbue tena watu jf..
we jamaa wew bhana! kwani mwanza haina wana jf!? Isitoshe sikuweka mipaka ya kusema nataka samsung s5 kutoka dar au arusha! unapenda ubish kinoma
 
we jamaa wew bhana! kwani mwanza haina wana jf!? Isitoshe sikuweka mipaka ya kusema nataka samsung s5 kutoka dar au arusha! unapenda ubish kinoma
Namaanisha bei za simu mpya Mwanza ni rahisi zaidi kuliko used jf... so huna haja ya kutafuta jf.. nenda moja kwa moja dukani kuna bei nafuu zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom