Natafuta rafiki wa kiume

awe na sifa zozote isipokuwa
asiwe ameoa ila awe mtu mzima mwenzangu .greater or equal to 35! na awe na mvuto sio wote wabaya tunakaa sehemu moja.
majukumu yake
kuwasiliana na mimi mara kwa mara
kutoka out ijumaa jmosi na jpili
kutembeleana
kusaidiana
kufanya mazoezi pamoja ikiwezekana
urafiki huu sio wa kimapenzi . kama unataka mpenzi naweza kukusaidia kutafuta .
Wenzio tushakutana nao wenye itikadi hizi hizo lakin mwisho wa siku analia coz mm nilienda km rafiki tu, mara sexmate tu. Kasheshe pale utakapoanza kunishika shati wkt mm sina time. Just a friend. Wanawake mna shida sana dunia sio siri na hamna kitu mbaya km hiyo utakufa kihoro
 
awe na sifa zozote isipokuwa
asiwe ameoa ila awe mtu mzima mwenzangu .greater or equal to 35! na awe na mvuto sio wote wabaya tunakaa sehemu moja.
majukumu yake
kuwasiliana na mimi mara kwa mara
kutoka out ijumaa jmosi na jpili
kutembeleana
kusaidiana
kufanya mazoezi pamoja ikiwezekana
urafiki huu sio wa kimapenzi . kama unataka mpenzi naweza kukusaidia kutafuta .
Na uzuri huo niishie kukutoa out tu huku papuchi ale mwingine????nooo way
 
Hahaaa [HASHTAG]#bonny[/HASHTAG] pita kushoto kwa miss natafuta..bora umwambie tu akutafutie mupenzi
Ha ha ha ha kwahyo niende na ombi tofaut la kutafutiwa mpenz kipind na yeye anahangaika kutafuta rafik yake wa kalamu
 
unakuta unatongoza demu anakuambia tuwe marafiki jamani ila mapenzi hakuna ana mpenzi wake na huku ukimuona mpaka shape ya suruali inabadilika. mie naachana naye maana siwezi kujiumiza bure.
Ya nn ujiumize kama hauwez kuwa mpenz bas iwe tu tunafahamiana tu maswala ya kuish kama fisi kusubir mkono udondoke nan anataka
 
Back
Top Bottom