Natafuta rafiki wa kike

We hebu tutolee upuuzi wako humu ndani, babako anajua kama ada zake ndiyo matunda yake haya
 
We hebu tutolee upuuzi wako humu ndani, babako anajua kama ada zake ndiyo matunda yake haya

haahaha mbona unamletea strory za kidingi dingi.. kijana yupo chuo labda mwaka wa mwisho alafu anataka kutaarisha kabisa.. asiingie kichwakichwa akirudi mtaani... ! ila mi namshauri asiwe muongo! atongeze bint face to face.. kutongoza through sms only f losers do that ...
 
mmh uyu bado ananuka nyonyo
hana qualification za mama bg
akue kwanza kidogo
mama bg hafany kazi ustaw wa jamii
 
Ama kweli umishiwa kwelikweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!...inaelekea una matatizo sana, hapo ulipo umefulia totally!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mmh uyu bado ananuka nyonyo
hana qualification za mama bg
akue kwanza kidogo
mama bg hafany kazi ustaw wa jamii

ha ha ha vijana wa siku hizi wameumbwa na maajabu........anaweza kulelewa na Mama Big kutokana na mchakamchaka wake kwa Mama big, Kiasi cha kwamba Mama Big akawa haambiliki kwa dogodogo wake Kama Mzee Fataki.
 
mmh mam bg mbona ashanaswa kwa finest?dogo dogo wake mwenyewe anamwimbia mabata madogo dogo+anamwogesha kwa viungo vya pilau kabla ajamnyonyesha....so uyu wa cbe hana time nae
mama bg alitoka kwa bgrita mtu mzimam wenzake akaenda kwa kadogoo kadig diig finest...mwulize teamo atakwambia!!!!!!!
 
Anatafuta mchumba tena wa kike nyie midume mnaoshoboka mtakuja kuolewa i promise you
 
fafanua kidogo unataka kike ya namna gani, mke, nyumba ndogo, changudoa, shangingi, kahaba, hawara, mchumba au pass time?
Ati tayari nafasi zimejaa ............. :bowl:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom