Natafuta partner(mbia) wa Civil proffesion tech au eng

afadhali umetulia maana ulikuwa unaongea sana kuliko uhalisia i wishi nikuoneshe kazi zangu kwa habari yako mimi ni proffesional wa ARCHITECTS MIAKA 5 AT UCLAS, hivyo unavofungua kampuni ya ujenzi building au civil ni lazima muwe na shared na civil part, uwe unajifunza kujua kabla ya kusema kwanzaa
..we fala,ukitaka kuwa muongo uwe na kumbukumbu blalfuu!,
..nyuzi zako za nyuma zinaonesha huna hii elimu unayosema;
...pesa,tamaa na njaa,
.ukiiendekeza juu ya kidole utakaa!
 
siku ukiacha utoto na kubomolewa nyuma utakuwa na akili, sio lazima kila kitu uchangiee uwe na hakili wewe.

mpuuzi mkubwa hii ndo post yangu ya kwanza mwaka 2017, sikai mitandaoni kama wewe, nafanya kazi. sina njaa kama unavyofikilia wewe ni kazi nxuri hapa najitanua tu
 
...mbia nipo hapa ntakusaidia kukutanua marinda hayo!
...mi nimeongelea nyuzi we unajibia post,
.fala kweli,unataka niwe na 'hakili' wakati wewe mwenyewe huna!
..karudie kujisoma kwenye nyuzi zako za nyuma ndo uje kujaribu kutupotezea muda kwa kudanganya watu wenye akili zao,
.bwege wewe!
 
piga namba simu tuongee acha ujinga wewe
bwege ww na ukoo wenu pamoja na mzazi wako,

post za nyuma zinahusiana na hii, hivyoo viroba usituletee hukuu, ndo maana na ukubwa wako wote unaishi kwa mamaako unalishwaa
 
Unatafuta partner? Au technical personnel ili usajili kampuni? Inakuwaje unatafuta partner hata hamjaandaa memorandum na articles of association au partnership unataka atume cheti?
Na Partner anatumia CV ya nini kwanza? Na yeye atamtumia yakwake??

anatafuta partner kama anatafuta mfanyakazi
 
piga namba simu tuongee acha ujinga wewe
bwege ww na ukoo wenu pamoja na mzazi wako,

post za nyuma zinahusiana na hii, hivyoo viroba usituletee hukuu, ndo maana na ukubwa wako wote unaishi kwa mamaako unalishwaa
....we fala next time usijaribu kudanganya watu na akili zao utakalia chupa!
 
6d2093db22fe33cfb7d3aa902583e6b5.jpg
 
Nimeoteshwa kuna utapeli Unataka kufanyika hapa
Haya mambo ya uongouongo ndo chanzo cha vijana wengi kutoaminika. Yaani hatuaminiki kwa sababu ya watu kama hawa. Haingii akilini kwamba anayetafuta mbia bdo awe na majibizano ya aina hii.
Watu tunatafuta wabia wenye mitaji au ujuzi ili tuungane tufanye ya maaana lakini wakiona vitu kama hivi hatuaminiki.
Sio lazima uanzishe thread ambayo haina maana ili ujulikane. Hata likes kwenye thread za watu yatosha, kwa namna hii tunaonekana JF ni kijiwe cha waongo, matapeli
 
faabroz. Wewe ni tapeli nimepiga simu namba yako Mara 16 kwa siku tatu haupokei unaogopa nin?
Nime PM haujibu unaendeleza malumbano na watu inawezekana wewe ni tapeli!
 
faabroz. Wewe ni tapeli nimepiga simu namba yako Mara 16 kwa siku tatu haupokei unaogopa nin?
Nime PM haujibu unaendeleza malumbano na watu inawezekana wewe ni tapeli!
umetuma namba ipi mkuu simu yangu mbona haina hizo call ulisosemaa
 
MI

mimi ni wazo hilo sasa inawezekana yeye hana wazo hilo, anaweza akatoa vyeti copy akawa anapata gawio kila mwaka au nikampa share zangu, usikalili kuwa lazima uaandae memorandum pamoja, ndo maana voda saizi unanua hisa nawewe unakuwa mmiliki wa vodacom-swali je ulikuwepo wakati wa uandaaji wa memorundum
Ila kwani voda tunatuma vyeti?

Wewe sema unataka vyeti tuu
 
Back
Top Bottom