Natafuta nyumba ya kununua Dar.

ntakupigia mkuu kuna mmoja amenionyesha na kesho tutapitia nyingine kama sintiridhika ntakupigia ili nisipige simu huku na huku itakuwa usumbufu kidogo
Kama bado uje check pia Salasala-Kwabarikiwe barabara ya Africana
 
Mkuu ushapata nyumba? Nipigie 0712361699
Nyumba ipo tabata baracuda karibu na kwa masanja mkandamizaji
 
Habari waungwana,natafuta nyumba ya kununua ya familia iliyokamilika nifanye kuingia tu na isizidi m70.
+255 625 540 438 nicheki iyo namba nauza nyumba iko tabata segera Meja street vyumba vitatu one master ina fensi ni kubwa karibu.
 
kaka kama upo serious 70m, ni pesa nyingi sana unajengewa nyumba safi na sehemu ya kiwanja imabaki kwa matumiz mengine, vinginevyo utanunua nyumba hata sehemu ya bustani huna, nyumba yenyewe uaweza kua scaper, n ushauri tu maneno yngu sio sheria, au waone NHC
 
kiwanja humohumo au,na nyumba ya aina gani mkuu
MUSINGA kama upo serious njoo WhatsApp nikueleze kila kitu ndio kiwanja humo humo bt nyumba ya Vyumba vitatu masta moja vya kawaida viwil choo cha public jiko store, sebule dining
30cdad189fc7beff33e06d8769b751bd.jpg
hii ni ya Vyumba vitano sasa wewe tunaweza kukujengea kama hii ya Vyumba vitatu kwa bajeti yako na kama kiwanja kitakuwa chakwako basi tutakujengea ya Vyumba vinne kwa bajeti yako karibu WhatsApp 0763772636
 
nina nyumba nauza ipo kigamboni kwa mwaingila ni 1 km toka kituo cha daladala mwingia nyumba ya msikiti tuwasiliane 0657145555
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom