Natafuta Nyimbo za zamani za Taarab

Umenikumbusha mbali sana. Nikiwa na umri was miaka 11 nliwahi msindikiza mama sehemu inaitwa Mtupie, Chumbageni basi wee huo wimbo ulikua ukiimba redioni na msusi anaimba kwa hisia nikajikuta naupenda.

Penda sana
 
kuna.wimbo ulikuwa unaitwa aasuu.cjui aliimba.nani ila ndo wimbo pekee wa taarabu nimewahi kuupenda
 
Ule cjui unaimbwaje cjui
Ila mi nakumbuka tu kile kipande kinasema baraza umepangisha chumbani umeshauza; nautafuta kweli huu meimbo aisee
 
mwenye wimbo wa Nasma khamis "sabalkheir mpenzi" plz antumie 0768485053 au hata hapa nautafuta nimeshindwa ht kuupata! nahitaji audio
 
kuna mmoja huu nadhani aliimba mdada flani ivi muungano...unaitwa "penzi wala sio mzizi"...hili penzi wala si mzizi fitinaaa uongo acha wee,kaokote kama unawezaa kumtunza mwako chuumbani..."
kama kuna mtu ana hii kitu anitupie plz...

na hizi pia:
Mambo iko huku=khadija kopa
Mambo yapo huku=nasma kidogo
Y2K manjonjo=khadija kopa
na taarabu za Zainab Mohammed wa Muungano
 
mqdefault.jpg


Culture Musical Club : Subal Kheri : https://www.youtube.com/watch?v=x1356G5_jUs

More: CULTURE MUSICAL CLUB. TAARAB 4: THE MUSIC OF ZANZIBAR cdorbd041. Sterns Music On-line, World Music On-Line, African Music On-Line. Real Audio/MP3 samples
 
Assalaam Aleykum Jaamia jamani kama kuna mtu ana nyimbo ya taarab hii (nisaidieni mwambieni nampenda nampenda) anitumie tafadhali
 
aisee mwenyewe wimbo wa mariam abass(nampenda mwenyewe) kutoka zanzibar naomba anitumie maana nimeutafta bila mafanikio
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom