AaaahahahahahaaaWw unae chura ? Maana vyura vinapendeza zaid vikiwa viwili
hahaha kwa kweliWewe unatafuta house girl...
maisha kusaidiana. Ndo maana nikataka mwenye elimu isiyozidi kidato cha nne kwa kuwa nataka mke wa kulea familia kwa mila za kiafrika. Nyie wasomi ndo maana ndoa hazidumu, sasa mie niende kazini ww ukae tu ndani kuangalia kideo eeh?. Najua ntampata
Usijali utapata tu ila kumbuka wasichana wengi siku hizi wamepiga hatua sana kielimu (wengi wameajiriwa au kujiajiri), sio kama mabibi waliotutangulia hivyo kigezo chako cha f4 kinaweza kikawa kikwazo kwako!!maisha kusaidiana. Ndo maana nikataka mwenye elimu isiyozidi kidato cha nne kwa kuwa nataka mke wa kulea familia kwa mila za kiafrika. Nyie wasomi ndo maana ndoa hazidumu, sasa mie niende kazini ww ukae tu ndani kuangalia kideo eeh?. Najua ntampata
Ndo namtaka golikipa awe anadaka mabao nitakayokuwa nayamimina usikuUsijali utapata tu ila kumbuka wasichana wengi siku hizi wamepiga hatua sana kielimu (wengi wameajiriwa au kujiajiri), sio kama mabibi waliotutangulia hivyo kigezo chako cha f4 kinaweza kikawa kikwazo kwako!!
Ila maisha yalivyo magumu unataka golikipa?!
Usijali utapata tu ila kumbuka wasichana wengi siku hizi wamepiga hatua sana kielimu (wengi wameajiriwa au kujiajiri), sio kama mabibi waliotutangulia hivyo kigezo chako cha f4 kinaweza kikawa kikwazo kwako!!
Ila maisha yalivyo magumu unataka golikipa?!
vyote vyaweza kuwa jibu maana una qualification kama tangazo la kazi vilemshahara au mahari?
Hii ulikuwa unamtumia pm Iholomela au...mana sijaelewaAsalaam alaikum za asbh mmeamkaje nafamilia vipi kheir naona kimya haya nakutakia ck njema na kazi njema pia inshaalah
Baada ya kuona pm amekuchunia ikabidi umfate hukuNdio IHOLOMELA
Pole ya nini tena..Pole sana
Umemchunia mwenzio hadi amekufata huku...
utaendelea kufeli tu bora ujiwekee kichwani kuwa utakuwa singo milele pole sanaMie ni Mzee wa miaka 40 nimeoa na kuacha mara mbili kutokana na kuto-match. Nimekaa singo miaka miwili sasa bila mwenza.
Nimechoka kujipikia, kufua na kupiga pasi. Nahtaji mwenza kuanzia miaka 30-45.
Vigezo:
1. Awe na elimu isiyozidi kidato cha nne, maana hawa walioenda vidato ndo nimeshindwana nao siwataki tena.
2. Awe mahiri katika upishi na usafi. Kwenye mapishi nataka ugali mgumu wa kisukuma sio uji uji wa kidaslamu
3. Awe na 'chura' sitaki vipotabo nataka figa la kiafrika.
4. Asiwe muongeaji saana.
Kama uko tayari nicheki kwa PM
Hah umeona.Wa kupika na kufua na kufagia tafuta kijana Wa kiume atakufanyia kazi hizo vizuri. Kama hizo ndio sababu zinazokufanya kuoa basi utawaacha wanawake wengi sana.
Mie ni Mzee wa miaka 40 nimeoa na kuacha mara mbili kutokana na kuto-match. Nimekaa singo miaka miwili sasa bila mwenza.
Nimechoka kujipikia, kufua na kupiga pasi. Nahtaji mwenza kuanzia miaka 30-45.
Vigezo:
1. Awe na elimu isiyozidi kidato cha nne, maana hawa walioenda vidato ndo nimeshindwana nao siwataki tena.
2. Awe mahiri katika upishi na usafi. Kwenye mapishi nataka ugali mgumu wa kisukuma sio uji uji wa kidaslamu
3. Awe na 'chura' sitaki vipotabo nataka figa la kiafrika.
4. Asiwe muongeaji saana.
Kama uko tayari nicheki kwa PM