Natafuta mwanamke wa kuzaa nae tu

Mkuu ukipata nitarifu na mm maana naona kama tuna wazo moja ..... Mm pia naitaji mwanamke wa kuzaa nae tu ila cio kuoa .... Vigezo awe mrefu kias rangi cio tija ila awe mzur atleast awe na elimu diploma pia awe najua kuongea vzur English or French even Spanish coz mm mwenyewe nipo vzur kw izo lugha so nataka mwanangu pia awe naongea
Haaaa haaaaaa
 
Baadae mnaanza kuwasema vibaya single mothers! Na kukataa kuwaoa mnasahau kuwa visababish n ninyi
 
Mkuu ukipata nitarifu na mm maana naona kama tuna wazo moja ..... Mm pia naitaji mwanamke wa kuzaa nae tu ila cio kuoa .... Vigezo awe mrefu kias rangi cio tija ila awe mzur atleast awe na elimu diploma pia awe najua kuongea vzur English or French even Spanish coz mm mwenyewe nipo vzur kw izo lugha so nataka mwanangu pia awe naongea

Mkuu umepandilia mumohumo kwenye tangazo la mwenzio na wewe umetupiamo la kwako..... Hahahahahahahaha Afadhali mumepa kampani kijana wangu aliyeleta uzi kama huu Matusi aliyotukanwa mpaka uzi ulikohamishiwa sijui kwa kweli... Tafuta Uzi Ulioandika '' Just Mimba Tu'' walitukanaa humu mpaka uzi ukapotezewa Mwamepande...

Hahahah
 
Umri wangu ni Miaka 34 Mrefu, Mweusi Mkristo, Nimeajiriwa Botswana, kwa Sasa likizoni Tanzania, Niliwahi kuoa ila ndoa ikawa ndoano, Aliyekua mke wangu ni kama ya (Frola Mbasha). Mwanamke ninayemhitaji ni mwenye Elimu ya wastani, Age 25 - 30, dhehebu lolote ila mcha Mungu, Mwenye kuvutia, kazi si Lazima maana ninajitosheleza. Kwa Mwanamke aliye serious Akuje tuongee.
jamanii Mungu anakuona Flora Mbasha tenaa
 
Nimejaribu kuwa wazi sana, kwa sasa ndoa sihitaji, maana najua niliyoyapitia, sasa mtu asinielewe vibaya, Kwann Wanawake wanapenda kudanganywa. Mimi nitakua Baba wa mtoto mwenye Mapenzi kwa Mtoto na Mama aliyenizalia, si Lazima Tuoane.
Sasa kama utakuwa na mapnzi na mam na mtot bora tuu umalizie na ndoa maan wanawake wote awafanani!
 
Wewe Umezini mara Ngapi nje ya Ndoa yako? Kama ulikua unaheshimu na kuthamini Ndoa yako, kwann unazini Nje ya Ndoa yako. Rejea Andiko langu, Mm nilishakua na ndoa, kwahiyo siwezi kuoa Tena. Huo ndo Ukweli ingawa ni Mchungu kwako. [HASHTAG]#Pitatumkuu[/HASHTAG].
 
Umri wangu ni Miaka 34 Mrefu, Mweusi Mkristo, Nimeajiriwa Botswana, kwa Sasa likizoni Tanzania, Niliwahi kuoa ila ndoa ikawa ndoano, Aliyekua mke wangu ni kama ya (Frola Mbasha). Mwanamke ninayemhitaji ni mwenye Elimu ya wastani, Age 25 - 30, dhehebu lolote ila mcha Mungu, Mwenye kuvutia, kazi si Lazima maana ninajitosheleza. Kwa Mwanamke aliye serious Akuje tuongee.
😳😳Haya wenye vizazi vya majaribio mje huku jamaa anataka mtoto tu
Pole kwa yaliyokukuta
 
Mm apa nimekuja ila rangi yangu in ya chungwa
Umri wangu ni Miaka 34 Mrefu, Mweusi Mkristo, Nimeajiriwa Botswana, kwa Sasa likizoni Tanzania, Niliwahi kuoa ila ndoa ikawa ndoano, Aliyekua mke wangu ni kama ya (Frola Mbasha). Mwanamke ninayemhitaji ni mwenye Elimu ya wastani, Age 25 - 30, dhehebu lolote ila mcha Mungu, Mwenye kuvutia, kazi si Lazima maana ninajitosheleza. Kwa Mwanamke aliye serious Akuje tuongee.

time will tell
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom