Natafuta mume

Status
Not open for further replies.
Habari zenu,

Natafuta mwanaume ambaye anaweza kuwa mume.

Sifa zake;
Muislam mwenye hofu ya Mungu
Miaka 28-35
Elimu degree (yoyote) au mwenye future na maisha yake(mfanya biashara)au Mkulima,nau shughuli yoyote ya halali.
Mwenye utayari wa kuoa.
Maji ya kunde au Mweupe kidoogo.
Mrefu kiasi.
Ukiwa na mtoto sawa pia.

Sifa zangu;
Muislam nina hofu ya Mungu.
Umri 24.
Elimu diploma.
Maji ya kunde.
Mfupi kiasi asili ya unene.
sina mtoto.

Samahani kwa niliye mkwaza ila mwenye nia na anahisi anafaa ani PM tunawasiliana.

Ahsanteni.
Nna sifa zote, ila bahati mbaya mie Maji ya Mbaazi
 
.. yaa maashara shabbaab manistatwaa minkumulbaab falyatazawwaj ... fanya subra mashababi waje utampata tu In Sha Allah .. japokua mm pia ni shabaab sema bado sijakua tayari kuoa ..
 
Habari zenu,

Natafuta mwanaume ambaye anaweza kuwa mume.

Sifa zake;
Muislam mwenye hofu ya Mungu
Miaka 28-35
Elimu degree (yoyote) au mwenye future na maisha yake(mfanya biashara)au Mkulima,nau shughuli yoyote ya halali.
Mwenye utayari wa kuoa.
Maji ya kunde au Mweupe kidoogo.
Mrefu kiasi.
Ukiwa na mtoto sawa pia.

Sifa zangu;
Muislam nina hofu ya Mungu.
Umri 24.
Elimu diploma.
Maji ya kunde.
Mfupi kiasi asili ya unene.
sina mtoto.

Samahani kwa niliye mkwaza ila mwenye nia na anahisi anafaa ani PM tunawasiliana.

Ahsanteni.
Allah akutilie wepec
 
" mfupi kiasi mwenye asili ya unene" najaribu kukutengenezea mental image , anyway kila la kheri.... !!! ila 24 unatafuta mume soc media? !! umri bado unaruhusu tulia utampata wa kukufaa!!
 
DADA UPO SERIOUS KWELI UNATAFUTA MUME?

UNAFIKIRI JF NI SEHEMU SAHIHI YA KUTAFUTA MUME?

TENA NI BINTI MDOGO KABISA MASHAALLAH.

USHAURI WANGU AMKA USIKU USWALI RAKAA MBILI,MLILIE MOLA WAKO MLEZI AKUPE MUME MWEMA,NAIMANI ALLAH ATAKUFUNGULIA UTAPATA MUME MWENYE HOFU NA ALLAH INSHAALLAH,KWANI YEYE NI MPOLE, MSIKIVU NA YUPO KARIBU MNO NA WAJA WAKE PINDI WANAPOMUOMBA, NAKUUSIA TENA JARIBU KUWA NA SUBRA KATIKA KIPINDI CHOTE CHA KUMTAFUTA MWENZA......UKIWA NA PAPARA KATIKA JAMBO HILO LA KHERI UTAKUJA IJUTIA HATA NDOA YENYEWE.
 
DADA UPO SERIOUS KWELI UNATAFUTA MUME?

UNAFIKIRI JF NI SEHEMU SAHIHI YA KUTAFUTA MUME?

TENA NI BINTI MDOGO KABISA MASHAALLAH.

USHAURI WANGU AMKA USIKU USWALI RAKAA MBILI,MLILIE MOLA WAKO MLEZI AKUPE MUME MWEMA,NAIMANI ALLAH ATAKUFUNGULIA UTAPATA MUME MWENYE HOFU NA ALLAH INSHAALLAH,KWANI YEYE NI MPOLE, MSIKIVU NA YUPO KARIBU MNO NA WAJA WAKE PINDI WANAPOMUOMBA NAKUUSIA TENA JARIBU KUWA NA SUBRA KATIKA KIPINDI CHOTE CHA KUMTAFUTA MWENZA......UKIWA NA PAPARA KATIKA JAMBO HILO LA HERI UTAKUJA IJUTIA HATA NDOA YENYEWE.
Acha kumtisha ina mana akisha soma hiyo rakaa akae ndani mume atamfata?
Wewe ustadhi Juma vipi!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom