Natafuta mume

Mimi nina mke ,, Je uko tayari kuwa mke wa pili? kama ndio wapi naweza kuonana nawe.
 
Habari za week end wana JF?

Mimi binafsi niko salama namshukuru Mwenyezi Mungu, naomba nitumie nafasi hii
adhim ya JF kujitafutia mume. Mwenye nia ya dhati anipm.

Am serious jamani

Utani tuweke pembeni kidogo!
Naomba yafuatayo
1. Umri wako
2. Elimu yako
3. Unaishi wapi.
4. Nitumie picha yako PM
Nipo serious tafadhali.
 
Ahh aya bhana.. Ila ukikosa kabisa uskate tamaa nsubirie mie nkimaliz shule ntakuj kukuoa eeh sawa??
 
Jamani hawa warembo wanajificha wapi ?
Me nataka mke ata siwaoni walio tayari!
Aishah 2016 njoo kwangu me nivute zangu jiko.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom