Natafuta mtaalam wa kuunda Forex robot anafundisha hata kwa malipo?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,999
19,305
Wakuu habari, nataka kujua kama kuna mtaalamu wa kunifundisha namna ya kutengeneza forex robot (automated trading system) hata kwa malipo

Ni programu ambayo inasaidia ku trade automatically, ukishaitengeneza na kuweke vigezo vyako vya ku trade, unaijaribisha kwenye demo account ikileta faida basi unaiweka kwenye live account, ikileta hasara unaibadilisha na kuijaribu teha

Ku trade manually kuna changamoto ya emotions ambayo kwenye robot inakuwa haipo
 
Una kiasi gani mimi ninaroboti linaitwa Zumaridi Kerubi ili linameza kila kitu mpaka broker atakufukuza maana utampiga matukio kila siku karibu sana.
 
mkubwa hilo roboti unataka liongozwe na nini

kama ni hizi indicators za kawaida kama SMA nk unaweza ukatengeneza kwa msaada wa website fulani fulani free of charge

halafu nikwambie kitu forex inaongozwa zaidi na sentiment analysis hayo machart & maindicator ni hereni za kidigital
 
Sio indicator, price action
 
Wakuu habari, nataka kujua kama kuna mtaalamu wa kunifundisha namna ya kutengeneza forex robot (automated trading system) hata kwa malipo

Ni programu ambayo inasaidia ku trade automatically, ukishaitengeneza na kuweke vigezo vyako vya ku trade, unaijaribisha kwenye demo account ikileta faida basi unaiweka kwenye live account, ikileta hasara unaibadilisha na kuijaribu teha

Ku trade manually kuna changamoto ya emotions ambayo kwenye robot inakuwa haipo
Kaka ilo robot either ulilipie ulitengeneze au ununue njia zote amna kitu utapata kutoka kwa robots. Labda ufund cent account utie robot uko amna kitu.
My dm is opened ukitaka kunisikiliza.
 
Nimekucheki kiongozi
 
Back
Top Bottom