Kama umepita katika maelezo yangu nimeweka namba yangu for more detailsTuwekee sura yako na wewe tuione usije kuwa una sikio moja jino moja mkono mmoja jicho moja na mguu mmoja. Pili wasichana wazuri wana ushindani mkubwa hugombaniwa na wengi haya tueleze mwenzetu unafanya shuguli ipi kuingiza kipato na kipato chako ni shilingi ngapi kwa mwezi na kuhusu elimu una elimu gani? Una mali gani unazomiliki kwa sasa? Na ndugu zako wanafanya shughuli gani yaani kuanzia wazazi kaka dada zako nk na ni dini Gani wewe? Mwisho vipi umepima huna ukimwi?
Weka taarifa acha ubabaishaji. Yaani mtu atumie vocha yake kuhangaika akujue wewe nani wewe kweli una tatizo ndio maana wachumba kwenu wamekukataa unatafuta kwenye internetKama umepita katika maelezo yangu nimeweka namba yangu for more details
Sasa hizi akili zikapimwe then zije na hukuWeka taarifa acha ubabaishaji. Yaani mtu atumie vocha yake kuhangaika akujue wewe nani wewe kweli una tatizo ndio maana wachumba kwenu wamekukataa unatafuta kwenye internet
Mleta mada nakushauri uwe unatumia dawa zako kama ulivyoshauriwa pale mirembe, tofauti na hapo unazidi kuwa mwehu.
duuh unatuabisha sisi wanaume wa mwanza acha ubwege wewe ukitoka ofisin pitia the joint pale isamilo utakutana na totoz kibao za ofisini in a week unaweza tangaza ndoa ila kama unataka wale wa kukuponya nyege zako pita pale diamond ingia vip lounge kuna totoz bei zao kati ya 50 na 30 kwa usiku mmoja au ukinogewa unaoa hata malaya sio mbaya mkuu