Natafuta mshirika wa kuanzisha biashara Mwanza pekee

man84

Member
Nov 18, 2014
18
13
Husika na kichwa hapo juu Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 40 ni mfanyanya biashara hapa mwanza, nahitaji mtu mwenye mtaji wa kuanziasha biashara ya pamoja.

Mimi tayar nachumba cha duka natafuta mtu mwenye Nia ya pamoja, kutokana na chumba kilipo kinafaa sana kama Kuprint tishet mabango mbalimbali ya matangazo tuna nunua mashine ya Kuprint Kaz inanza karibu 0676004518
 
Ukiweka kwenye mizani asset zako na huyo mbia unayemtaka, utalazimika kupewa share kidogo sana almost asilimia 25 hivi ya hisa zote

Muhimu kuwe na documentations vizuri

Kuna jamaa aliishia kuuawa na rafiki yake ili arithi Kampuni yao ya Ujenzi waliyofungua Pamoja

Kila la heri
 
Hicho chumba pangisha. Kusubiria mtu alete biashara kisha mgawane pasu kwa pasu sio fair deal
 
So wewe unainvest tu chumba au mimi sijaelewa
Tuna weka sawa mizan lakini ni mashine ya Kuprint mabango tu sio vitu vingi san
Ukiweka kwenye mizani asset zako na huyo mbia unayemtaka, utalazimika kupewa share kidogo sana almost asilimia 25 hivi ya hisa zote

Muhimu kuwe na documentations vizuri

Kuna jamaa aliishia kuuawa na rafiki yake ili arithi Kampuni yao ya Ujenzi waliyofungua Pamoja

Kila la heri
Ushauri mzur
 
Hili deal sio fanya kutoa mtaji na wewe japo 30% au kama huna ulete hizo printing machines then partner aongeze materials nk
 
Husika na kichwa hapo juu Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 40 ni mfanyanya biashara hapa mwanza, nahitaji mtu mwenye mtaji wa kuanziasha biashara ya pamoja.

Mimi tayar nachumba cha duka natafuta mtu mwenye Nia ya pamoja, kutokana na chumba kilipo kinafaa sana kama Kuprint tishet mabango mbalimbali ya matangazo tuna nunua mashine ya Kuprint Kaz inanza karibu 0676004518
Kijana tena 40 sema wewe ni Mtanzania mwenye umri wa miaka 40 uko mwanza sehemu gani
 
Mhh hiu ni thread yako ya 3 unatafuta mwekezaji ila huelewek...kuna thread unatafta mwekezaj wa kuagiza magar nje ya nchi 🤣🤣 ya pili unatafuta wa kufungua nae kampuni mhh kuna kitu hakiko sawa
 
Back
Top Bottom