mimi hapa nalipwa kwa pound Sterling basiWakuu,
Nimeshaandaa hela ya mchele kama kilo 25 na kuku (majogoo wekundu) wanne kwa ajili ya kumpa mganga mahiri kwenye hiki kitengo.
Ushuhuda wa wazi ni kwamba:
Tangu Januari mpaka sasa nimepiga tongozo zipatazo 56,
Ila sijawahi kukubaliwa hata 1.
Bila siasa wala kupindisha maneno,
Hapa kuna mkono wa mtu.
Nielekezeni kwa mganga nikamalize tatizo.