Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,293
- 17,258
Hujamuelewa tu vizuri Mkuu Kalaga baho alichokuuliza. Ni hivi people hire managers huyo unayemtafuta wewe ni investor ambaye naye atatafuta manager sasa.Samahani mkuu nimeandika kiswahili sanifu kabisa " Natafuta manager wa kuni simamia mimi" Amani ya bwana iwe nawe🙏